Ndugu yangu pole kwa matusi ya hapa. Sijui kwanini members wengi hapa wako so naive. Mimi naungana na wewe katika hili..sijui kwanini watu wanashindwa kutuliza kichwa na ku connect dots. Anyway.kila mtu ana maoni yake
Daaah, samahanini wanajukwaa....ila nimesoma kisa alichokua anaandika nimekuja kukutana na habari za umauti wake. Naomba nitoe maoni yangu, na kama yuko atakayekwazika anisamehe. Kifo kinauma sana tena sana wala hakijawahi kuzoeleka. Ila....hakuna aliyefariki hapa...my guts tells me so. Narudia...
Ni nguvu mbili tu duniani zinazowapa wanaume jeuri. Nguvu ya pesa na nguvu ya kusimamisha uume. Kikiondoka kimojawapo au vyote ni mwisho wa kiburi chenu. Unapotumia urijali wako kumuumiza mwenza wako hebu kaa tafakari sababu kesho yetu hatuijui. Kama mke wako ni mwamiminifu, anakuheshimu na...
Hongera kwa
Kuleta
Hongera kwa kuleta uzi huu wenye mustakabali mwema kwa jamii.
Mimi ni mke na mama wa watoto 4. Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na tatu 13.
Tambua kwamba hakuna anayeoa au kuolewa ili aachike, hakuna.
Moja kwa moja naomba nikujibu kulingana na hoja zako.
1.kila mwanamke...
Whoever did it atakua mtu au watu ambao watanufaika na kutokuwepo kwa mama na wanae wa pekee..boyfriend hawezi kunufaika na chochote...mlinzi kama kweli alikua anafokewa na manyanyaso angewaibia siku moja na kutokomea ili kuwakomesha..
Hsta mimi nimehisi hivyo kwakweli..anakwepa sana kila swali analoulizwa kuhusu bi mkubwa...ni dhahiri hawako katika good terms ndio maana aliweza kuwekeza muda na mali kwa bi mdogo..hakuna mwanamke mwenye akili timamu asiyajue mahusiano ya nje ya mume kwa miaka yote hiyo
True love na thamani ya upendo wa penzi haiexist kabisa..especialy in africa..najua mtanishambulia lakini wachache wenye akili wataelewa ninachoongea...sababu wanaume wa kiafrica kwa asilimia kubwa wamehalalisha michepuko kiasi kwamba mwanaume asiecheat anaitwa mgonjwa au hana hela...seriously...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.