Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Binafsi mimi Nina matatizo ya kusikia ni shida sana
Mim sikulelewa na mama , na Wala mama yangu hakuwahi kuwa karibu na mm yani hata nikiomba kitu sipew na mama alinitekeleza huko kwa baba , baba alikuwa ameshaoa tuliishi vizur tu japo sikuwa karibu sana na mzee japo nilikuwa nalipiwa ada za...
Asante kwa kututea 😂😂 be a porn star to ur hubby background noise don't crack us wengine tunavaa kama urembo na sio ooh et kupangiwa aloo 😂 Mie mtu Aniite tu Malaya Wala sijaligi.
Background noise don't crack me 👌
Hello naweza kupata ur no mm Pia am 26 years mm langu lilitokea huko iringa jmn nilikuwa class 5 my dad did everything for me mpaka akafirisika nilifaulu sana form 4 nikachukua science ili nisome science I mean pharmacist to be but guess wat bullying was at the highest level 2016 walibadulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.