Recent content by kisokolokwinyo20

  1. kisokolokwinyo20

    Dunia ni gereza la roho za wafu

    Kuna vitu ukisoma na kujaribu kutafakari, unaona unapasuka kichwa. Ngoja nile mtori nyama nitazikuta chini.
  2. kisokolokwinyo20

    SHAMBA LA WAFU - (Graveyard)

    Aache na nauli![emoji16]
  3. kisokolokwinyo20

    Uzi Maalum Kwa Ajili ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara - Sabasaba 2019

    Habari Wakuu, Ni kipindi kingine tena cha mwaka ambapo kama ilivyo ada kunakuwa na Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba. Kupitia maonesho haya, wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali kwa jamii hupata nafasi ya kujinadi kwa shughuli mbalimbali wanazozifanya. Ni ukweli...
  4. kisokolokwinyo20

    Wanaofanya Mazoezi Daraja La Manzese Wamekosa Mahali Pengine?

    Acha kejeli,jikite kwenye HOJA YA MSINGI. Ikiwa nimekuja juzi au kabla yako ina msaada gani katika mada niliyoileta? Basi tufanye wewe nfio uliyeanzisha mji na kujenga hilo daraja. Ova.
  5. kisokolokwinyo20

    Wanaofanya Mazoezi Daraja La Manzese Wamekosa Mahali Pengine?

    Tulipanga kujenga kivuko change watembea Kwa miguu sidhani Kama ni sehemu ya kufanya mazoezi. Kuna watu wanaingiwa hofu Wakiwaona wale vijana
  6. kisokolokwinyo20

    Wanaofanya Mazoezi Daraja La Manzese Wamekosa Mahali Pengine?

    Wakuu habari ya asubuhi, Kwa Wale Wenyeji Wa Jiji La Dar Na Wanaopita Barabara Ya Morogoro Watakuwa Wanashuhudia Vijana Wengi Kiasi Wakifanya Mazoezi Ya Viungo Wengine Kama Wanapigana Ngumi Hasa Nyakati Za Asubuhi. Swali Langu. Je, Sahihi Kwa Vijana Hao Kufanya Mazoezi Eneo Hilo?
Back
Top Bottom