Recent content by kisokodzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera investigates Tanzania's illegal ivory trade (Dar > Zanzibar > Hong Kong > Shanghai)

    Hii ni aibu kubwa sana kwa chama cha majizi(CCM). Haiingii akilini kama kweli tuna serikali. Bado utasikia kuna mijitu humuhumu kwenye forum inaiunga mkono CCM kwa nguvu zote. Sijui inakuwa na akili ya namna gani ya kutokuelew hata state filure ya wazi kama hii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Mimi nilidhani najiunga na jf sehemu sahihi kwa critical thinkers kumbe ni kundi la wanasiasa.nilidhan huku ndo tutaweza kusaidika kukomboka kifikrabkumbe sio. Jf itapoteza mwelekeo kama tunatumia namna hii!
  3. K

    JamiiForums Tanzania New NASA grant explores turning human poop into astronaut meals

    Sasa tutafika pahala tunamkufuru hata muumba maana utasikia tena wanasayans wanatafiti jins ya kula maiti ili zisizikwe bure. Shidaa!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Hivi mtu mchafu anaweza kuwa waziri? Kama rais kamchagua mtu mchafu kuwa waziri unategemea yeye atakuaje? Kwanza ni aibu kwa rais kutomchagua makamu wake na waziri mkuu wake kuingia tani bora. Inamaana alikuwa anafanya kazi na wahuni! Ndio maana hata makamba amewashinda.
  5. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dr. Slaa nenda CUF,Chukua form na gombea uraisi.

    Hayo mambo mnayoongea wenzenu walishayajua mapema na kutafuta mwarobaini wake. Tulien angalien game linavyokwenda kwenye usajili wa mwaka huu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

    Subirini muone ndipo mseme.
Back
Top Bottom