Recent content by kisimbigile

  1. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    Nimecheka kijinga sana[emoji1787][emoji1787]
  2. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Kila nikianzisha mahusiano, yanavunjika kabla hatujafikia hatua nzuri

    u spoke volumes mkuu! Huenda ana kitu cha tofauti ndani yake huyu jamaa. kuna tofauti ya kuoa mwanamke na kuoa destiny. wakati mwingine changamoto ya kuoa au mahusiano haitokani na unayemuoa bali ulichobeba wewe muoaji as in what u carry calls for ur destiny. mfano. Henoko kwenye biblia...
  3. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya hii ndoto, nimeota tumeenda kumzika mtu mara ya pili

    mauti as per your dream decodes utayar wako au season ya kuingia kwenye mahusiano hivyo inaanzia ndani yako kwanza kabla ya kuhusiana na mtu ndio maana ukaletewa taarifa kabla ya kilio kijacho. wakati mwingine kama neema ya ndoa ina shida utaota uko uchi au umepoteza au kuibiwa nguo. so...
  4. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya hii ndoto, nimeota tumeenda kumzika mtu mara ya pili

    it implies Neema yKo ya Ndoa is at stake! inategemea na imani yako but whichever it is chukua muda kuombea neema yako ya ndoa. (note: kuna tofauti kati ya ndoa na neema ya ndoa maana kuna watu wako kwenye ndoa na hawana neema ya ndoa) pia fuatilia mwenendo wa mahusiano yako you are likely to...
  5. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Shukran sana mkuu
  6. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

    [emoji1787]
  7. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Shukran sana
  8. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Many thanks
  9. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Dawatini nimeandika ME
  10. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Bro mbona msisitizo umekuja ghafla...well asante kwa ushaurk
  11. kisimbigile

    JamiiForums Tanzania Mgeni naomba ukaribisho

    Hello, Nashukuru kwa nafasi ya kujiunga JF. Nimekuwa ndugu msomaji na mtazamaji nikielimika na kuwa mnufaika wa makala maridhawa za forums mbalimbali pasi na kuwa member rasmi. Hopefully hii itakuwa hatua muhimu pia kunifikia na kuwafikia. Naomba mpokee utambulisho.
Back
Top Bottom