Recent content by kisimani

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    Watanzania wanataka mabadiliko...... Unashangaa nini?? Mimi wangeruhusi ndio ningeshangaa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

    Huyu si aliandika barua ya kuomba kujiunga na UKAWA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mwenye matokeo ya ukerewe tafadhali naomba
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Mke wa Prof ni mchaga na ni mkristu mkatoliki kwa dini.. Ishu ni kwamba yeye ni Answarisuna na ameoa na anaishi na ------!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    yani kazi haziendi kabisa....mwajiri anisamee kwa muda huu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Kanyaga twende.....mpira unaamia upande wa pili....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    nakubaliana na mtoa mda, hakuna mjadala leo....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Kuna mfano kwenye biblia Yesu aliwauliza wanafunzi wake....je na nyinyi mnataka kwenda????
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Aisee sikujua kumbe Lema ndio alisababisha ule waraka kupatikana. Big up Lema
  10. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Kwa kweli sijaona point yoyote iliyozungumzwa na Zitto pamoja na Kitila zaidi ya kutafuta huruma kwa jamii husika. Kwanza walipaswa kujibu tuhuma walizopewa na CC ya chama. 1. Je ni kweli walishiriki kwenye huo waraka? 2. Je ni kosa kikatiba? 3. Je CC ya chama wapo sahihi?? Binafsi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    Usiangaike sana, kama ni cha Mungu kitadumu kama sio kitakufa. Punguza matusi bibie, hivi una mume kweli?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Ukiona kiza kinazidi ujue asubuhi inakaribia na pia kumbuka kila baada ya ijumaa kuu huja sikukuu ya pasaka.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza CHADEMA kwa kuchukua maamuzi magumu ya kujikata mguu!

    Hata Jesus alisema...mkono wako mmoja ukikukosea ni afadhali uukate na jicho uling'oe kuliko kwenda Jehanam na macho mawili. Katika maisha kuna vitu sometime inatupasa kuachana navyo siyo kwa sababu ni vibaya bali kwasababu vinatukosesha ile hatma ya maisha yetu. Hata ukiwa na marafiki kila...
Back
Top Bottom