Recent content by KISHOIYA

  1. KISHOIYA

    Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    ehheeee 11 wote wanaingia kule? jamani jamani! mmhh!
  2. KISHOIYA

    Nahisi simpendi mke wangu

    mmhh sijui ni tatizo la elimu, ignorance au ushirikina!? Aisee kaka pole kwa unayopitia, ongezea na maombi.
  3. KISHOIYA

    Sasa napata usumbufu mwingi kutoka Kwa wadada JF

    nafasi uliitangaza mwenyewe sasa unalalamika nini? vacancy uliyotangaza haikua na limitation ya applicants, acha mbwembwe inawezekana unakumbushia kisela sababu hukupata any applicant!
  4. KISHOIYA

    Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

    awatoe mashemeji ila mkewe nae aanze kuchangia manunuzi labda atakuelewa! sasa hivi hachangii na wewe una uwezo kwa hiyo anaamini utanunua tu! mtest achangie kwa muda mfupi umone...ila muelewe pia yeye hawezi kulala ameshiba wadogo zake walale na njaa.
  5. KISHOIYA

    Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

    yaani kama ungekua hekima kidogo ulipoambiwa na mkewe kuwa "anatamani mumewe ampende kama anavyokupenda wewe" ungekata mawasiliano. Ila hukuona shida? unacheza na mume wa mtu!? halafu hujielewi wewe mwenyewe unampenda sema tu hujajigundua!
Back
Top Bottom