Recent content by KISHIRO FAMILY

  1. KISHIRO FAMILY

    Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

    KWA NINI ZANZIBAR LEO SI JANA:Tangu kuanza siasa za vyama vingi nchini miaka ya tisini upinzani kwa upande wa ZNZ umekuwa mkubwa kati ya Ccm na Cuf. Na Hilo limepelekea migogoro mikubwa iliyopelekea usuluhishi wa kimataifa kuwepo ZNZ na hata kupelekea kuwepo wakimbizi waliokimbilia...
  2. KISHIRO FAMILY

    Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    Ikiwa nchi kweli inachukia USHOGA inatakiwa ikemee viwakilishi wa ushoga na kujifananisha mwanamke na viongozi wa Dini wasimame pamoja kukemee hili kwa majaliwa ya maadili ya Taifa.
  3. KISHIRO FAMILY

    Mweka Hazina wa CCM Iringa, aukwaa Ubunge Viti Maalum CHADEMA

    Ndio maana nitaendelea kutokuwa mwanasiasa huku nikipiga kura kwa nionaye anajali uhai wa taifa na watu wake
  4. KISHIRO FAMILY

    Magufuli unanichelewesha kuvuta sigara

    Sipendi kuhukumu bila ushahidi hili linanifanya nijipe moyo kwamba huenda aina ya Rais tuliyemtaka watanzania bila kujali CCM ,UKAWA AU ACT ni Mh Magufuli usinibeze!
  5. KISHIRO FAMILY

    Wachawi wamemchukua mwanangu

    Sihitaji kukuelewa kwa Sasa umechanganyikiwa saana Japo kwa imani yangu tena ya mbinguni naamini ni kweli uchawi upo licha kufanikiwa au kutofanikiwa kwa uchawi ni jambo lililo mkononi mwa Muumba MUHIMU :Ishi maisha ya Imani na jua lililo kufika lisingekufika ila ni ili ujaribiwe
  6. KISHIRO FAMILY

    Vigezo vya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA vyawekwa wazi

    Nadhani Sasa viongozi wa Chadema Taifa kwa haya manung'uniko waje na majibu makini au waombe radhi ummah kwa maslahi ya chama chai!
Back
Top Bottom