Ndio maana niloona ule umati (Utitiri) pale mwanza jana nilimkumbusha rafiki yangu ambaye nilimweleza juu ya kura hizi za MAGUFULI akabaki anawaza kwa nini na yeye hakuwa mwenzangu na mimi toka awali japo alinihakikishia kuwa atampigia MAGUFULI kura
​Sina haja ya kusema ni kiasi gani wananchi wameamka kuepukana na Rushwa na Ufisadi, nadhani wote mnaweza ku access internet (kwa simu, computer) naomba muangalie mikutano yote ya CCM leo ukianzia MWANZA kisha matokeo yatakapotangazwa akiwa amepata chini ya asilimia 70 ndio tujiulize kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.