Recent content by Kisengero

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Mwuaji anapendeka? Nani hataki kuishi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Hata ingekuwa vipi hao wakuu ie. The president, VP,PM , CDF,DGIS na IGP kutokana na mfumo wa serikali ya JMT wasingeweza kuitwa sembuse kuitika wito kwa sababu wamejijengea dhana kuwa wao hawagusiki (untouchable) na wako juu ya sheria. Wanaweza hata kuamua nani afe na nani aishi
  3. K

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

    Alikuwa mwl
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Ukienda interview ya ajira ya upolisi kama umefaulu vizuri form 4 tu huchukuliwi sembuse form 6. Wanaajiri failures tu. Sasa hawa failures ndiwo wanajiona wana akili sana hata kutuambia landcruiser tinted yenye nembo ya JWTZ ni gari ya TARURA? Ajabu na kweli. Dahhh
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwani DCI Kingai na wenzie waliiitwa kumtetea Mh.Lissu , au kuja kuthibitisha uhaini wake?

    Majaji wamezingua : Hawa DCI , IGP na CDF wangetakiwa kuja kuthibitisha uhaini wa mshtakiwa sema wamefuata maelekezo kutoka juu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

    Kama tumelaaniwa vile....mwaka kesho(2027) twatarajia darasa la tano na la sita kufanya mitihani pamoja kwenda sekondari mwaka 2028. Ni wazi kuwa mwaka huo tutahìtaji kuwa na vyumba vingi vya madarasa, walimu wengi, vitabu vingi na rasilimali zingine nyingi kuliko miaka ya nyuma. Badala ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Msambaa wa Vuga huyo : Sijaamini manake wasambaa tunatisha kwa roho nzuri, sie hatuna asili ya roho mbaya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

    Watashindwa kwa jina la Yesu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Acha uchawa bro, fanya kazi upate mkate wako wa kila siku
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Kwani wao ni nani....who are they? Hawa ni genzii tu kama genzii wengine na ni watoto wetu. Huwezi tishwa na kinyago ulichochonga mwenyewe.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Cv ya kazi gani, kwani kafa?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Majaji watakuwa wanajuta kuwapa summons hao kina mkunda , kesi hizi zinaamuliwa kibabe tu , thank God dunia ni kijiji otherwise ubabe ungekuwa 100%
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Maiti inadaiwa kuokotwa kwenye mtaro, Mwenge Coca-Cola road mkabala na Natai Plaza ikiwa imetolewa macho

    Kwa nini lakini? Kuuana kama wanyama wa porini. Huu ni woga.... Kama vipi mfuate mbaya wako mpigane live...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Kwani wanapoteka raia , kuwatesa na kuwaua wanakuwa hawajui hilo? Njaa zikufanye uue ndugu zako?HAPANA
  15. K

    JamiiForums Tanzania U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

    Mwigulu of all the people unamfananisha na magufuli? No, no , no. Binafsi nilikuwa na shida inayohusu kodi akiwa waziri wa fedha nikampigia simu hakupokea, nikaona labda yuko busy sana ikabidi nikamtext WhatsApp na kuambatisha vielelezo husika kuthibitisha madai yangu kwa kuwa nlishapita ngazi...
Back
Top Bottom