Recent content by kisendo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la form yangu ya mkopo !

    kwa sisi tuliomaliza diploma mwaka huu 2022, tunaweka cheti gani pale kwenye educational information diploma details?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaingia betpawa sehemu ya kuweka booking code inajaza iyo code apo utaziona hizo mechi Kisha unalipia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzigo ulitumwa humu, Asante sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mbn kwangu code haifunguki
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau nataka nimpe USGN katika mechi ya leo, mnanishaurije
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    usitusahau na wa leo boss
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mwenzenu nadaiwa kodi, nina 10k naomba odds chache tuu za leo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii ni application gani mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hehehehe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    imeisha hiyo. whatsapp?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu, naomba code kama hutojali
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge

    Habari ndugu zangu, Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge au vitu vya sokoni. Frame iwe maneno ya Sinza, Tabata, Kinondoni, Kigamboni.. Mwenye nayo tuwasiliane DM
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta intern/kazi

    Mkuu naomba ninganishe nipate intern. Nmemaliza CoICT telecommunications engineering.. Naomba nipate ujuzi na uzoefu wa mambo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya biomedical engineering

    Nenda Amana Hosp walikuwa na uhitaji
Back
Top Bottom