Recent content by kisemeleo

  1. K

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Ukisoma ukurasa wa X "Hata hivyo NECTA wanatumia vigezo vingine vya ulinganifu sanifu ambavyo mchakato wake wa kuvitumia haueleweki kwa wadau. Aidha utafiti umebaini kuwa, gredi zinazotumika shuleni kwa uzoefu wa miaka mingi ni A (81-100), B (61-80), C (41-60), D (21-40), F (0-20). Hata hivyo...
  2. K

    Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Peryy imekosea ndugu yangu. Siku nyingine jitahidi kudhibiti ulimi wako katika kuwasiliana. Fino da final; Mtamanyali, Meljons, The Secretary, Laurence na Taifakwanza; na wengine wote tuliokwazwa na kauli ya mropokaji huyu TUMSAMEHE BURE. Kwanza ametufanya tutoke kwenye mada. Perry kitahidi...
  3. K

    Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

    Sijakataa ndugu yangu, taaluma bila wito imetuweka maroboti, taaluma + wito = ubunifu.
  4. K

    Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

    Ndugu yangu, kujuwa kwetu kunatofautiana katika kupokea taarifa na katika kuwasilisha. Ninakubaliana na wewe kuwa ualimu ni kazi kama kazi nyingine (soma tene maelezo yangu). Hata udaktari ni "wito", vivyo hivyo uaskari, uuguzi, uandishi wa habari, n.k. Ukiwa na WITO katika taaluma yako utafanya...
  5. K

    Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

    "Ualimu ni wito" hayajapitwa na wakati ndugu yangu. Msemo huo unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote kwa Tz. Tatizo watu wengi wanaunasibisha msemo huo na ualimu bila malipo/malipo madogo, noooooo. "WITO" ni ile hali ya kusukumwa ndani yako kufanya jambo fulani (ualimu kwa mjadala wetu)...
  6. K

    Walimu mmmmmmmmmmmmpo?

    Mzee! fafanua mheshimiwa hii ya "wote ni failure"
Back
Top Bottom