Recent content by kisapwi

  1. K

    Mtoto asafiri na ndege kutoka Dar hadi Zanzibar bila ticket

    Habari za leo Msijadili sana kwani mataifa mengine watakuja kutucheka. ni kawaida kutokea kwenye Domestic flights ila kwa hapa BONGO inawezekana ni mara ya kwanza. Siku Moja nilikuwa naenda ABUJA nikitokea LAGOS, nilikuwa nasafiri na VIRGIN ATLANTIC AIRLINES. kwa kawaida Local flights NIGERIA...
  2. K

    Askari wa usalama barabarani Maili Moja,Kibaha

    halijakukuta. Ipo siku nilishuhudia askari mmoja akiwaonyeshea speed radar 70km/h kila dereva aliyekuwa anapita mbele kidogo ya kibaha kongowe kwenye kituo cha mafuta. Na mimi akanitendea hivyohivyo. Nikashangaa kwani speed yangu ilikuwa 40km/h. Nilivyogundua baada ya kumbambikia wa nyuma yangu...
  3. K

    Shule ya wasichana Ruvu imekithiri ukabila na ubabaishaji

    Hii ni shule kongwe kwa wanaoifahamu. Ilikuwa na sifa nyingi miaka ya nyuma. Nakumbuka miaka ile ya mwanzoni 1990 wakati natokea mazengo-high school na kufika maeneo hayo muda wa saa mbili sa usiku na kuona taa zikiwaka kutoka katika jengo hilo. Kwa kweli miaka ile ilikuwa ni ruvu kweli...
  4. K

    Wanandugu wa Palestina wakutana Iran, Tanzania haimo, Membe wapi?

    hiyo misaada ya mafuta mnayopewa kama angemiliki MUISRAELI MNGEPEWA. MARA NGAPI JK AMEENDA NCHI ZA KIARABU KUOMBA MSAADA WA MAFUTA NA PESA? NA MARA NGAPI AMEENDA ISRAELI? HAWA MAYAHUDI MBONA MNAWAABUDU. TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE SANA INAYOMYHAMINI MYAHUDI KULIKO..... WANGEKUJA KUJENGA...
  5. K

    Sudan yajitayarisha kwa kichapo toka Israel

    se nge ma ma ako. Unajua maana ya silaha duni?. Au ukisikia rocket unajua zote zina uwezo sawa? Kufa hampendi eeeeeeeeeeeeee?. Sisi tunafundishwa " maisha ya dunia ni starehehe ndogo yenye kudanganya" ila nyie nyie ndio mmewekeza
  6. K

    Israel yasitisha kichapo cha mbwa mwizi

    Sio sabini mkuu. Hamas wamethibitisha idf waliowauwa ni zaidi ya 100. Pamoja na wale makomandoo waliuingia mtego wa kujaribu kupenya kwenye tunnel tahamaki ana kwa ana na hamas ndani ya tunnel makomandoo wote 10 wa isareli wakafyekwa
  7. K

    Sudan yajitayarisha kwa kichapo toka Israel

    AFANYE KWANI AMESHINDWA NINI? NYAU WE!!. WATU WANASILAHA DUNI UTAKI WASAIDIWE? JE WANGEKUWA NA NDEGE ZA KIVITA NA VIFARU?. KAA UKIJUHA NETANYAU NA OBAMA WAMESHATOFAUTIANA. NETANYAU ANAONA AIBU KUSITISHA KUWAUWA RAIA KWANI WANAJESHI 100 WA ISRAELI WAMESHAKUFA. KITU AMBACHO HAWAKUTEGEMEA, JE...
  8. K

    Gaza: Mwanajeshi wa Israel aliuawa

    Kumbe hamas walikuwa wa kweli walisema " hawajakamata mateka askari yeyote wa israeli hizo ni propaganda zao za kutaka kuua watoto kwa kisingizio cha kumtafuta" walisema wanaamini ameuwawa katika mapambano. Waisraeli njooni huku mfungue makanisa wapo watu wanawaita watoto wateule wa mungu mje...
  9. K

    Sudan yajitayarisha kwa kichapo toka Israel

    1. kwani HAMAS KUSAIDIWA NI KOSA? 2. MBONA WAO WANASAIDIWA NA NCHI ZA MAGHARIBI? 3. sudan msikubali UBEBERU WA AINA HII, PAMBANA USIOGOPE, WEKA JESHI KATIKA ALERT 4. ISARELI INATAPATAPA KWANI HAWAKUTEGEMEA UPINZANI WANAOUPATA. ILIJUA NI KAMA MIAKA YA NYUMA NI KUPIGA BILA ASKARI WAO KUUWAWA...
  10. K

    Ninaunga mkono Israel kuitetea na kuilinda nchi yao ya AHADI

    hAWA JAMAA WANGEKUJA HUKU KUANZISHA VIKANISA, WANGEKUSANYA KULIKO TRA NA WANGEITWA WATOTO WA MUNGU AU KUSUJUDIWA KABISA
  11. K

    Bolivia declares Israel terrorist state, scraps visa exemption agreement

    Mimi nashindwa kuelewa watz wanaowakumbatia israeli, wanachokifanya gaza ni unyama sijui watz wataelewa lini?. Ila natabili kitu kimoja laiti kama waisraeli wangekuja bongo kuanzisha makanisa basi naamini wangekusanya kuliko tra na pia wangeabudiwa.
  12. K

    Hamas wanaua wanajeshi, Israel wanaua raia

    Hamas ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma, naomba muangalie aljazeera sasa hivi kuna breaking news. Israeli wameingia kiwewe hawakutegemea kama wangepata upinzani kama huu. Hivi sasa idf mmoja katiwa mbaroni. Alijitia commandoo aingie kwenye tunnel, sasa bado kuliwa tigo
  13. K

    Visa ya Tunisia

    Visa zinapatikana on arrival. Hakuna ubalozi hapa bongo, visa zinapatikana tunis airport kwa 50 dinar hakikisha immigration ya tunis wanalojina lako, yaani yule atakaekualika apeleke jina pale tunis airport na akupe wewe barua ya mualiko. Hakikisha unaitunza vizuri kwani tunis air ni wakorofi...
  14. K

    USA, Israel empire exist forever?

    Nilikuwa nafuatilia mada za JF kuhusu Mapigano ya ukanda wa GAZA kati ya Israel na wanyonge waPalestina ambao wameishi kwa muda mrefu tangu mwaka 1947 katika taabu kubwa. mwaka 2011 nilipata kusoma kitabu kimoja, mwandishi alidai kuwa hakuna empire hata moja duniani ambayo ilikuwa empire kwa...
  15. K

    Waarab waishangaa Hamas

    Wewe unajua mzozo huu ulipoanzia au unakurupuka tu. ISRAELI ana ardhi pale wale si walikaribishwa kutoka Ulaya mwaka 1947 umesahau mzee. leo uje udai kwako, ukoloni huo haupo tena. Mimi nasapoti WANYONGE WANAODHULUMIWA HATA KAMA HAWANA SILAHA, IPO SIKU DAMU YAO ITALIPWA. UMESAHAU AFRIKA KUSINI...
Back
Top Bottom