Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini.
Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha kwenda moshi nao wamefanya hivyo hivyo.
Wahusika wenye mamlaka watatue changamoto hii kwani ni zaid...
Acha kuongea ujinga wewe kampuni ya African Queen mgeni wake alishashambuliwa na mambo hapo,hata Tanzania Specialist….
Hao wanaosema hakuna wanafaidika na hiyo sehemu lakin ukweli ni kwamba Mamba Chemka wapo..
Mmesahau hizo bendera na mabango mliyaweka kwa nguvu na kuondosha ya chdema kwa msaada wa mwendazake?
Umesahau kwamba tangu ruhusa ya kujenga na kufanya mikutano kwa vyama ndio imetolewa.
Subiri sindano ikuingie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.