Recent content by kisakas

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

    Matokeo kufutwa sio kitu cha ajabu,standardization pia sio kitu kipya,form 4 1998 kuna mitihani ilifutwa baada ya kuvuja hivi nyie form 4 wa mwaka huo msiajiriwe kwa kua ni wezi wa mitihani?au mnadhani hao watoto wa form 4 ya mwaka jana hawana nafasi tena kwenye nchi yao kisa wamefeli?nyie...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Rais pekee aliyetoa uhuru wa kila mwananchi kuongea na kusema atakacho.Hili limetusaidia kujua kua watanzania tukipewa uhuru tunalewa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    CHADEMA nikisliliza hizi purkushani zenu za urais 2015 napata wasiwasi...hivi ni ishu saana kwa wakati huu?nasita kusema kwamba naona dalili za uroho wa madaraka ndani ya CHADEMA.Kwanini hii habari inapamba moto sana wakati taratibu zipo na zinaeleweka?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Precision Air kero tupu!

    kwa tofauti hiyo ya masaa mlipaswa kudai fidia:rofl:
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    watanzania na sie sjui tumelogwa na nani....kauli ya awali wala haikuhitaji kuibua maswali kwani uhuru wa raia ulitumika,sasa hii ya pili nayo mwataka kutumia muda kuijadili,hebu fanyeni ya msingi msipende porojo!
Back
Top Bottom