Mkuu karipot police kwasababu hizo pikipik znaweza tumika kwa uharifu shida inakuja pale watakapotaka mmiliki wa Mali hiyo inaumiza kweli lakin Fanya hivyo mkuu maana sheria ni msumeno! Nizako kweli lakin zaweza leta majanga kwa upande mwingine.
Mambo ya chadema nenda ufipa kaulize!,
Kwa mtizamo wangu kuhamia dodoma ni jambo jema sana ila lifanywe taratibu siyo kufanya haraka haraka kuna gharimu sana. Mfano m/rais alihamia dodoma kwa mbwembwe mbele ya makamera baada ya makamera kuzimwa katembelea rivasi kurudi dar na ofisi yake ipo dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.