Recent content by Kirya

  1. K

    Ni Wakati Sasa wa Kushughulikia "Majipu Halisi!"

    Naona kwenye chama chake betri za tochi anayotumiaga kumulika wizara zingine na taasisi zingine zimefifia nwanga hauonekani
  2. K

    Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

    Madai ya Msuya niyakweli ccm ndio wamechangia kukimaliza chama chao wenyewe rushwa imetawala kubadilisha matokeo kwa mfano jimbo la mwanga aliyeshinda ni Tadayo chakushangaza maghembe katangazwa
  3. K

    Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

    mambo ya mshenga
  4. K

    Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    kama alikuwa na orodha ya vigogo wa serikali waliokuwa wanajihusisha na ujangili ni shida.hilo litawatisha hata wale wenye orodha ya vigogo wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya Kulevya
  5. K

    January Makamba na Muhongo, Okoeni mazingira, miti inaisha kwa mkaa

    pia na Uvuvi haramu umeongezeka yuko wapi Mwigulu?
  6. K

    Wajue Mawaziri 4 viporo

    Hapo umepatia wizara moja tu ya Fedha na mipango lakini membe wala nagu ni shiiiiiida
  7. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    point yako nzuri lakini haina mashiko huyo angekuwa cdm ubunge ungemuhusu labda urudi ccm halafu rais amfikirie hata hivyo huyo aliye mshauri ajiunge na Act amempotezea ramani binafsi namshauri atoroke aje cdm
  8. K

    Historia ya Paul Makonda

    kweli nakumbuka kwenye bunge la katiba alisha ambaa na simu ya mjumbe mwenzake
  9. K

    RPC Kilimanjaro; Wanachofanya Polisi Wilayani Mwanga ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Hapo kazi kweli kweli .hivi maghembe yuko wapi kwann anakaa kimya huku wapigakura wake wanaozea kiruru? angekuwa waziri tungesema yupo kwenye vikao huko lakini kwa bahati nzuri amekosa uwaziri ili awe karibu na wapigakura wake na kutatua kero zao za msingi.
  10. K

    Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    safi sana kwanza katiba ibadilishwe mkuu au wakuu wa wilaya wasiwe makada wa chama chochote
  11. K

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Makonda anaelekea mwisho.yani ni haki ya kubenea kama mbunge kusikiliza na kujua matatizo ya wapiga kura wake na kuyatatua na ikishindikana kuyapeleka bungeni
  12. K

    Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Alikuwa ni mlipakodi mzuri tu na ndio maana hujamsikia
  13. K

    Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    huyu jamaa yuko vozuro sana nampa Big Up
  14. K

    Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Watu wa singida Pipoziiiiiiiiiiiiiiii
  15. K

    Polisi wamvamia Bulaya hotelini

    jamani ccm inapumulia kwa mshine mazishiyake ni octoba 25
Back
Top Bottom