Recent content by Kirungwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania 2025 ni zamu ya Kigoma, tumecheleweshwa mno

    Hili swala la maendeleo ya mkoa wa Kigoma linahitaji tafakuri kiundani. Lazima kuna sababu inayofanya serikali tangu Baba wa Taifa hadi leo kutofanya maendeleo ya mkoa. Ni ahadi mara nyingi hewa. Ahadi zilianza tangu awamu ya JK na awamu hii hapa kuna dalili mkoa utaambulia ahadi tu. Kwa hiyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Amini nawaambia, hakuna wa kumbishia Marekani kwa lolote. Akisema, dunia imesema; akiagiza ni kutekeleza tu

    Unachosema ni kweli. Kuna mawili. 1. Marekani inatafuta sababu za kutuvuruga ili waweze kuvuna rasilimali zetu. 2. Ni kweli tuna makosa kadhaa hasa uminywaji wa demokrasia, watu wasiojulikana, n.k. Kwa hiyo tujihadhari sana. Viongozi wetu kama kweli ni wazalendo tunawaomba wasituingize kwenye...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Magufuli: Changamoto sugu zimebaki historia, kila pembe ya nchi inashangilia mafanikio yake

    Ume generalise sana maoni yako. Kuna sehemu katika nchi hii hali bado. Kweli kuna machache lakini bado kabisa. Mfano ni mkoa wa Kigoma. Huu mkoa awamu zote haikuangaliwa kabisa. Kwa mfano miundo mbinu ya barabara na reli zilizidi kufa. Awamu ya tano hii mpaka sasa mkoa haujaunganishwa na mikoa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya usimamizi wa kodi inatoa haki kwa mlipakodi kupinga

    Kwani wewe unaona hiyo sheria iko sahihi?. Ingekuwa rahisi kama unavyoona wafanya biashara wengi wangelalamika kisheria.
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

    Wana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza. Wasifanye tena kosa la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dola ya wachaga kabla ya uhuru

    Sehemu nyingi za Afrika zilikuwa na makabila yenye utawala mahsusi. Kwa mfano utawala uliokuwepo kabla ya wazungu ukanda ambao sasa ni Rwanda, Burundi na mkoa wa Kigoma ulikuwa na system mahili. Mkanganyiko uliojitokeza kati ya Watutsi na Wahutu huko Rwanda na Burundi ulileta mvurugano mbaya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    Kwa kweli ZZK jajielewi ndiyo maana anaulizwa je ni mbunge wa Dar au Kigoma? Huwezi kumsikia anazungumzia matatizo ya mkoa wake. Mkoa wa nyuma kuliko yote Tanzania. Mkoa ambao umepuuzwa na serikali zote ikiwemo ya wakoloni. Kwa nini sasa anajikita kwenye mambo yasiyousaidia mkoa wake mojamoja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aache upotoshaji

    Huyu ZZK hivi kwa nini amejikita kwenye mambo ya scandal za nchi tu? Huyu bwana anatoka mkoa ambao ni masikini kuliko yote Tanzania. Kila kitu, vikiwemo miundo mbinu ya barabara, reli na bandari, huduma za jamii ni hali ya chini. Mbona wabunge wengine wamejikita kutetea mikoa yao? Hawa wabunge...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aache upotoshaji

    H
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mikoa iliyobaki ni Kigoma na Katavi. Mipango ya kuiunganisha mikoa hii ipo ila utekelezaji wake haueleweki. Mikoa hii ni muhimu iunganishwe ili kuinasua kwenye wimbi la umasikini. Nitoe muono wangu. Mkoa wa Kigoma ukiunganishwa kwa lami utaendelea kuliko matarajio. Hii ina maana utakuwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Kasi yako haitoshi

    Miundo mbinu ndugu. Huyu mkuu wa mkoa afuatilie barabara zijengwe. Nyakanazi to Kigoma. Tabora to Kasulu. Uvinza to Kasulu to Manyovu. Pia ziwekwe lami miji ya Kasulu na Kibondo. Afuatilie tu hizo barabara mengine atuachie wananchi tufanye wenyewe kama tulivyozoea. Nasikia barabara zote tajwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nani Kati ya Obama na Mpango kuchukua Jimbo la Manyovu?

    Kati ya Obama na Mpango? Tujiulize, Je kati ya hao wawili nani sasa hivi anapigania maendeleo ya Kigoma? Mimi nasema hamna kati ya hao wawili. Maendeleo ya Kigoma yataongezeka mkoa ukiweza kuunganishwa na Tanzania. Tofauti na wengi wanavyofikiria Waha licha ya kupuuzwa na serikali zote tangu...
Back
Top Bottom