Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Tanzania ) hivi karibuni ilitangaza agizo la wamiliki wa magari kubadilisha kadi zao za usajili wa magari ndani ya muda mfupi uliowekwa. Ingawa hatua hii ni muhimu katika kuboresha ufanisi na uwazi wa mchakato wa usajili wa magari, muda uliotolewa umekuwa mfupi...
Utangulizi
Uchovu wa wafanyakazi katika sekta ya umma ni tatizo la kimataifa linalojulikana kwa kuchoka kihisia, kupoteza ari ya kazi, na kupungua kwa hisia za mafanikio binafsi. Hali hii ni ya kawaida zaidi nchini Tanzania kutokana na sababu mbalimbali za mfumo, shirika, na mtu binafsi. Insha...
Ndg Mh waziri Charles Kitwanga suluhisho la tatizo la msongamani na gharama kubwa kwa magereza yetu upo wazi ,Pale wizarani kuna kitengo cha Probasheni na Huduma kwa jamii wanao deal na wafungwa wa nje,kurekebisha tabia na after care service hawa watu wanatosha kabisa kuwa mbadala na suluhisho...
tena aruhusiwe na kunyonga wahujumu uchumi!Watu wanateseka na kufa !Kwa dunia hii Tanzania inahitaji utawala wa mapavu ,siyo rais wenye tabia za baby class au kendegate wakati watu wanakufa hakuna matibabu wala dawa!
Naaamini tukichambua mapungufu yetu na kuyafanyia kazi tutaendelea sana but sasa kama mtu anaona mapungufu na kusema hayo mapungu unaonekana msaliti hii haitatujenga kabisa!Binafsi nakuwa na wezangu wacdm nikiwauliza maswali ya msingi kama lilotokea Ruvuma japo niko Arusha ,wanakuwa na hasira na...
kila mtanzania anahaki ya kwenda mahakamani nakufungua shauri/shitaka lolote kwa mtu yoyote isipokuwa rais.Mwakiembe anataka kuwaminisha umma kuwa atampeleka EL mahakamani kwa kosa la Richmond,huku tukijua ni haki yake kufanya hayo,
lakini ukifika mahakamani kwa kufungua shauri haimaanishi wewe...
Mzee huyu ni kada tena mtiania ubunge Ukerewe!Ukiachana na ukada akijikita kwenye uhalisiha ni mtu mzuri sana,tena msomi wa hali ya juu tu,mwanzilishi wa taasisi ya sayansi jamii,
www.tasaja.org
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.