Recent content by Kirimao

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mkuu tatizo hilo na mie limenitokea..baada ya kuichunguza imeonekana crankshaft imekwisha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Nahitaji crankshaft ya terios dahatsu piston nne
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Habari jamani. Naombeni kujuzwa juu ya gharama ya crankshaft ya Terios Dahatsu piston nne.na kama zipo nazipataje kutoka ziliko. Mimi nipo Morogoro.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nimefanya hvyo but no response zaidi ya kushtuka kama mlio fulan hv kwenye injini
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    N Nimeizima na kujaribu kuwasha ikiwa kwenye P
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ok...asante sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada..gari langu ni automatic limezima ghafla Ila taa za dashboard zinawaka ingawaje engine can't start na betri ni jipya kabisa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada jamani...,gari langu ni automatic nimezima baada ya kupaki lakin nikwasha kwa sasa haliwaki ila taa za kwenye dashboard zinawaka na betri ni jipya kabisa. Tatizo huenda likawa ni lipi
Back
Top Bottom