Recent content by kirikuu10

  1. K

    Ikulu: Rais Kikwete hajalidharau Bunge (Uteuzi TANESCO)

    kwa hiyo tuna haki pia kusema ccm ni ya nyerere ??kuna kipi kilicho jianzisha chenyewe bila kuanzishwa na mtu au kundi la watu? Labda tusaidie hapo kwanza wewe unae jiona ni GT.
  2. K

    Ikulu: Rais Kikwete hajalidharau Bunge (Uteuzi TANESCO)

    wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa hivi ni ikulu zote huwa zinafanya kazi hivi!!??? Au ni ikuli ya tanzania tuuu???maana nayaona nakuyashuhudia ambayo sijawahi yashuhudia katika tawala zilizo toka kutoka ikulu, au watu alio waweka muhemiwa rais ikulu ndio tatizo!!? Kwamba hawakupaswa...
  3. K

    Zitto aishutukia EWURA juu ya kutoshuka kwa bei ya mafuta

    duuuuu! Kaka hapo kweli naona elimu yako umeitendea haki kabisa hadi mie wa ikwiriri huku nimeuelewa vyema huo mchanganuo wako. Thnx,
  4. K

    Waliotembea kwa mguu kutoka Geita, wapandishwa Kizimbani

    jibu langu ni kukudharau tu na kukuona mjinga.unakata tawi ulilo kalia.
  5. K

    Waliotembea kwa mguu kutoka Geita, wapandishwa Kizimbani

    huwa sina desturi ya kucomment huku lakini jibu lako limenishawish, labda nikuulize wafungwe wamekosa nini?kuna kosa walilo fanya hao vijana ambalo limeligharimu taifa kiasi cha kuwashutumu? Wewe ni mtanzania wa daraja gani? Na yule aliye funga safari kwenda kumpongeza raisi kutoka geitya...
  6. K

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    utamtia utasa kama sio cancer na uvimbe mwenzio na hizo njia zako za uzazi unazo mshauri, si salama hata kidogo,unaweza kujikuta umezuia mimba milele. Go and find details my dear.
  7. K

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    labda nkushauri kama alivyo sema mwaj waukweli kama utashibdwa kuvumilia hizo siku 8 basi bora ukatumia condom
  8. K

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Njia ya kalenda ndio njia ya uhakika isiyo na madhara yeyote yale kwake isipokuwa ni kuwa makini tu kuanzia siku ya 9 hadi 18 kwa uhakika zaidi, baada ya siku ya kwanza ya hedhi , hizo njia zingine anatafuta uvimbe kwenye mfuko wa uzazi na mengineyo. Asishawishike na promition zinazo...
  9. K

    Hakuna tena watu kukatwa miguu kutokana na ajali

    hivi tanzania huwa kuna desturi ya kuwajali wataalam wazawa??? Hivi wale jamaa walio unda nyumbu car waliishia wap?? Na wale wataalam wa gobore za kienyeji wapi waliko?? Zaidi unakamatwa ndani!
  10. K

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    nadhani hakuna dini wala dhehebu ambalo mungu kwa kinywa chake ametamka kuwa ni sahihi kwake. Zaidi ni utetezi uliopo katika kila kitabu cha dini husika kuwa mungu alisema. nadhani kila mtu aamini anacho ona kinamfaa. Ndio maana wenzetu china,japan na nchi zingine hawana ujinga huo wa yesu...
  11. K

    Budget yangu 800,000/- nahitaji pikipiki used nzuri

    sawa kaka ina hali gani na je ishawahi fanyiwa marekebisho yeyote kwenye engine na kwingineko?kuhusu km ilizo tembea inaweza chezewa kwenye odo hilo achana nalo nijue kwanza ina mda gani na matumizi yako ni binafsi au biashara coz reg. yake ni ya mda kiasi ingawa si sana. Naihitaji, then...
  12. K

    Serikali imetosheka na walimu wa arts hawaitajiki tena

    tatizo lako ndugu yangu hujataka kuelezwa faida za kufanya kazi serikalini. Tafuta mtu akuelimishe kidogo kuhusu hilo. Na ndio mana unaweza kukuta mtu anafundisha private lakini ajira za serikali zikitoka anaacha private na kwenda serikalini hata kama mshahara ni mdogo kuliko private,na...
  13. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jamani nahitaji mtu wa kubadilisha na mama mtoto wangu yeye yupo mafia idara sekondari masomo: art, anahitaji kwenda mwanza wilaya yeyote plz kama yupo mhitaji wa hili.
  14. K

    Ajira mwalimu wa primary

    achana nao kaka si unajua mwenye shibe hamjui mwenye njaaa?? Wana sahau wapo wamao lipwa chini ya laki mbili kwa mwezi na bado wanaendesha maisha,cheti na mshahara ni vitu viwili tofauti ingawa watanzania wengi wanahusianisha cheti na mshahara wakati cheti ni karatasi tu unalikalia nyumbani na...
  15. K

    Budget yangu 800,000/- nahitaji pikipiki used nzuri

    ni aina gani kiongozi na ipo wapi??
Back
Top Bottom