Recent content by kirikuu1

  1. K

    Msaada FUNDI Maarufu SUBWOOFER za Gari DAR

    0765261333 yupo lumumba anaitwa Sam
  2. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    ukifika kituo cha shule ya saint anthony mbagala unaingia upande wa kulia kuelekea kiburugwa, kwa nyoka kwa IQ yangu ndogo ni majina tu kama kwa madenge, kwa komba, kwa remmy...... ni uswailini kiasi
  3. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    umeona ee! ni bei pia mkuu laini hailipi hata kidogo
  4. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    urefu ni futi 47/40 upana futi 35
  5. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    nitajitahidi ndani ya siku mbili niweke mkuu coz sipo maeneo ya huko ndo mana itaniwia vigumu kuweka picha
  6. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    10million
  7. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    ok nauza banda
  8. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    Ipo Mbagalla kwa Nyoka, jirani kabisa na shule ya msingi Juhudi ujenzi umefika chini ya lenta, ina vyumba 3, sebule, public toilet, shimo la choo lililojengewa tayari, ina hati miliki ya wizara ya ardhi. Mawasiliano 0777 570 570
  9. K

    Obama atakuja na zawadi

    Ni kweli ataleta zawadi za kumwaga mbungu limbukeni huyo anatetemekea zawadi ya chandarua, dawa za kupunguza makali ya ukimwi, condom, wakati wazungu wanachota almasi, dhahabu, uranium, na umeme kwao haukatiki ovyo kwa kutumia rasilimali zetu kwani hivi vitu cc tunashindwa kuagiza? yani Mungu...
  10. K

    ARUSHA: Kinara biashara meno ya tembo anaswa

    Hiyo ya TWIGA ilikua upepo tu, huoni ulipita?Kumbe safari ya kwenda kuwapa pole wahanga wa bomu la Ola City ilikua ya mafanikio makubwa, naombeni mnikumbushe viongozi gani walikwenda Ar last week
  11. K

    Bwana harusi amuua baba yake kwa risasi

    Ok nimekupata BigBro mi bado nipo shule ya kata topic hiyo hatujaifikia
  12. K

    Bwana harusi amuua baba yake kwa risasi

    Mtu mmoja wa miaka 47 aliyejulikana kwa jina la Shirima mkazi wa Kibaha, amemuua baba yake mzazi anayekadiriwa kuwa na miaka 70 kwa kumpigarisasi iliyotoka kwenye SMG yake. Inasemekana baba huyo alikua amelala nyumbani kwa mwanae na alitokea Moshi kwa mualiko wa harusi ya bwana Shirima ambayo...
  13. K

    Ujio wa Dr.Slaa Uyole- Mbeya; CHADEMA waomba michango kugharamia ujio wa Dr.Slaa

    DR.SWALI HIU ndio kiongozi gani tena au ni mgeni kutoka China?
  14. K

    Natanguliza kuomba radhi kwa hili; maono ya viongozi wakuu wa serikali ya tz yanatia shaka;

    mkuu kujenga reli hapo mororgoro roa nadhani ingekua cheap kuliko hiyo barabara walojenga coz kila kitu tunazalisha hapa nchini labda tunge import xpert tu coz hawa wetu hawawaamini, ukiangalia reli zilizotumika kujenga hivyo vituo vya morogoro road ni nyingi balaa, kwamtazamo tu ukizicheki ni...
Back
Top Bottom