Nauza nyumba-Mbagalla

kirikuu1

Member
May 11, 2012
71
19
Ipo Mbagalla kwa Nyoka, jirani kabisa na shule ya msingi Juhudi
ujenzi umefika chini ya lenta, ina vyumba 3, sebule, public toilet, shimo la choo lililojengewa tayari, ina hati miliki ya wizara ya ardhi.
Mawasiliano 0777 570 570
 
Mbagala kwa nyoka lazima utembee na dawa ya sumu ya nyoka huko. nina 1,200,000/= vipi?
 
mkuu ebu fafanua ni wap uko? je kwa nin wameita kwa nyoka? je pia ni uswahilin sana.?
ukifika kituo cha shule ya saint anthony mbagala unaingia upande wa kulia kuelekea kiburugwa, kwa nyoka kwa IQ yangu ndogo ni majina tu kama kwa madenge, kwa komba, kwa remmy...... ni uswailini kiasi
 
ukifika kituo cha shule ya saint anthony mbagala unaingia upande wa kulia kuelekea kiburugwa, kwa nyoka kwa IQ yangu ndogo ni majina tu kama kwa madenge, kwa komba, kwa remmy...... ni uswailini kiasi
ooh,nilidhani iko dar salama vijijini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom