Recent content by kirikou1

  1. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Chief kwema?! Hongera kwa hatua, kikubwa tu kama IKAMA ipo aawa kwa mwaka husika tegemea kuula Kikubwa ni taasisi wakikibali utumishi ni kuangalia tu ikama Hongera
  2. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

    Ila visa free inakua kwa tourist visa mkuu, unaenda kama mtalii kuwapelekea dollar Business visa, working visa etc zenyewe unalipia
  3. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

    Rejea kilio cha madereva wa serikali kuloga ili wapate gari
  4. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hili ni shambulio la moyo, ndoa imekuwa chungu

    Unaamini vipi hicho kiumbe tumboni ni chako?
  5. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

    Daqah Ndio maana zinachelewa, ukoo mzima advanced ni mtu mwenye cheti cha ualimu serikalini Itabidi tujifunze kwa jamatini
  6. kirikou1

    JamiiForums Tanzania SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

    Au sio 🤣🤣🤣
  7. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Suti na tai za boni mwaitege
  8. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kama hajavuka 1/3 ya mshahara anakopa tu
  9. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Nawaona wakausha damu wa kutosha kwenye salaryslip wanafyonza tu
  10. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Tunaowaonea huruma wapigwa pasi tupo mkuu
  11. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

    Yaliyopo nyuma ya pazia yanasadifu uhalisia. Rejea yule mmarekani alochapiwa while kwenye kipindi chake ni mtaalam wa mahusiano
  12. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu Waislamu kuepuka mifumo ilionzishwa au inayohusiana na wakristo?

    Pia matumizi ya pampas.
Back
Top Bottom