Lissu ni msanii tu!
Kujifanya kumuomba Rais ni njia ya kuwateka wajinga kama wewe!
Angelitoa taarifa ya kuomba na kutokupewa ushirikiano kwenye idara husika tungelimuelewa.
Nyumbu wanasiasa za kitoto sana!
Leo wanaamua kula matapishi ya Zitto, bila haya wanampigia magoti Samia amuachie huru Freeman.
Sasa utajiuliza Freeman aachiwe huru kwa lipi? Utawasikia eti kesi ya kubumba...Hahaha kesi ya kubumba!
Sasa nyumbu kwa nini msiache mvua iendelee kunya tujue wapi...
Matatizo ya nchi hii ni ya siku nyingi na yanatia aibu. Kwangu mimi jambo la msingi uwekwe utaratibu wa kuweka hizi taarifa wazi kama kilio cha wengi kinavyotaka.
Hiyo mistari mingine anayorap Assad, ni maneno tu ya kisiasa ya sungura sizitaki mbichi hizi (UNAFIKI)
UNAFIKI ni hazina kubwa kwa...
Mama anaficha tu makucha. Covid tumeishinayo tangu wakati wa kipenzi chetu... Nini hasa asichokijua huyu mama, hiyo kamati ina jipya gani? Yani mapema sana mambo yameanza kuwa kiza. Kweli mwanamke ni mwanamke tu! Wapiga vigelegele muda sio mrefu mtaanza kutafuta leso kufutia machozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.