Recent content by Kirchhoff

  1. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Hause Girl: jamaa akasema Ameshamaliza kazi
  2. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

    Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.
  3. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

    Muwahi uende polisi wakamate vifaa vyake na kumuamrisha afute Mara Moja.
  4. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Nchimbi bado anaomboleza kufukuzwa kazi

    Ee Baba Mungu Ninakuomba Umhurumie Ndugu Nchimbi kwa maombezi ya Mama Bikira Maria mfungua vifundo na watakatifu wote kwa Njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja Utuhurumie.
  5. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Katambi: Wizara ya Mambo ya Ndani imepanga kukusanya Bilioni 499 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Fedha Kutoka Fine za Barbarani, Ile fedha ya dhamana ya viongozi wa chadema kukamatwa pamoja na watu wengineo kukamatwa na kudaiwa fedha ili waachiwe.
  6. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Sisi tunaona wakituombea Tunafanikiwa Kupewa na Mwenyenzi Mungu Kile Tulichokiomba.
  7. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Ndiyo. Mtakatifu Yosephine Bakhita Utuombee Mtakatifu Karoli Lwanga Shahidi Utuombee Watakatifu Petro na Paulo Mtuombee. Watakatifu wote wa Mungu Mtuombee.
  8. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

    Umesikia Maelezo yake? Mtu hatati kwa nini hawakumpeleka Mbweni Au Osterbay wakataka wampeleke kwa Bosi? Mtu hatari yupo mtaani hajajificha ndo atekwe badala ya kukamatwa?
  9. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Serikali iwaangalie Hawa ni kama wanamgambo wa hamas
  10. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Usafiri kwa Wananchi tunaoishi MOSHONO - ARUSHA

    Daladala Zipo Za Kutosha Barbara ya Moshono. Changamoto Ni pale wanapokatia Barbara ya uzunguni kuelekea Fire kisha Samunge na kuathiri wasafiri wanaotaka kupita Naaz, Metro hadi Friends Corner. Bajaj hazina shida zenyewe zinapita Naaz hadi Posta bila shida.
  11. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa majibu yetu Kwa Paschal Mayala, kuhusu nani aliamuru kupigwa risasi "raia"

    Serikali Ipi Ilikuwa Madarakani Siku ya Uchaguzi?
  12. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa majibu yetu Kwa Paschal Mayala, kuhusu nani aliamuru kupigwa risasi "raia"

    Kwahiyo Amri Ya Kupiga Risasi na KUUA Ilitoka kwa nani?
  13. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mlimani - Hotuba Maarufu zaidi kuwahi kutolewa Duniani

    Uza Ulivyo Uwape Masikini Kisha Unifuate. Utajiri Wako Utumike kwa Utukufu Wa Mungu.
Back
Top Bottom