Tuseme ni AI, kwanini watengeneze AI ya kwake na si ya mwingine? Na kwanini kipundi hiki anaposemwa semwa sana?
Inaweza kuwa ni AI lakini maana ikabaki pale pale ya wake up call
Huku kwetu janjajanja nyingi na kufika huko sio kwamba hatuwezi ila kwasababu polisi wengi wanapenda kuwa traffic sababu hiyo hiyo inayowafanya polisi watamani kuwa matrafic ndio huchangia kukwamisha miundombinu kama hiyo
Bila mpokea rushwa hakuna mtoa rushwa, serikali ikiweza kudhibiti wapokea...
Sidhani kama kuna mahali nimesema hoja zao sio za msingi, bali najaribu kujiuliza kama wana back up ya waajiri wao ili wanapopambania hizo haki zao isiishie kwa wengine kupata madhara na hatimaye kukosa msaada
Kitaalamu kama umebahatika kusoma critical thinking hakuna maswali ya kijinga kwasababu kila swali linakuwa na maana yake ila kunaweza kuwa na majibu ya kijinga na mfano wa majibu hayo ni kama haya ya kwako
Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva
Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
Sio kwamba hajui mipaka, anajua wazi na hicho anachokisema ndio uhalisia ulivyo kwasasa
Ukiona anaongea kwa kujiamini hivyo hadharani ujue huko ndani wameshamalizana siku nyingi sana
Baada ya kauli hii, kwa watu wanaojali proffesionalism na ethics za kazi zao ungetegemea kuwaona wakuu wa...
Wanaotakiwa kutoa neno wanapewa neno, wanaopaswa kufundisha wanafundishwa, wanaopaswa kuelekeza wanaelekezwa, wanaopaswa kukemea wanakemewa. Hawa ndio viongozi wa dini wa leo wanakubali kukemewa na waziri halafu mko bize mnasema tuwapelekee sadaka kwamba fedha na zahabu zote ni mali ya Bwana...
Taka taka ni mtu kama wewe unayeshindwa kutumia akili na maarifa kutafuta maisha badala yake unaishia kuwa chawa na kuabudu watu ili uishi.
Mwenzenu kajipa cheo cha kuwa msemaji wa familia, endelea kusubiri kuna nafasi inakuja ya kufua bikini za yule wa kike
Sidhani kama Dudubaya ni project ya watu labda waanze kumtumia kwa sasa kama project baada ya kuona mwitikio wake kwa wananchi. Na ili kumgeuza project kuna namna itabidi na wao wakubali watu wao waumizwe na project ya Dudubaya
Nacho kiona kwa mtoa hoja ni yale yale ya watu wa vijiweni ya...
Nimekubali sielewi chochote nitaendelea kujifunza labda itafika siku nitaelewa. Hata hivyo wewe nadhani wewe ndio debe tupu kabisa ambalo hata likiguswa na mende linaishia kupiga kelele
Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.