Recent content by Kiranja jr

  1. K

    Freeman Mbowe akifutiwa mashtaka itakuwa ni ushindi mkubwa CHADEMA

    Hivi kweli wewe kama una roho ya Mungu ndani yako embu tuambie mazingira ya siasa kati ya CCM na Chadema yapo sawa?
  2. K

    Kwanini CCM wamechukizwa na kitendo cha Lissu na Samia kukutana?

    Shida ni kwamba walifikiri kuwa hii nchi ni kwa ajili ya CCM tu
  3. K

    Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

    Nadhani ulishakuwa mshirikina ukastaafu
  4. K

    Wachambuzi wa siasa za kimataifa naomba mnijibu maswali yangu haya kuhusu taifa la USA

    Huyu utamjibu nini sasa wakati ameuliza maswali kwa kuonyesha kabisa kwamba ni timu Putin na anaichukia Marekani
  5. K

    Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

    Lakini elewa kwamba Nato ni tawi tu la Marekani, na Marekani akiondoa ufadhilii wake pale hamna kitu chochote, na huo ndio ukubwa wenyewe wa Marekani. Kingine ni kwamba kabla ya kutumia nyenzo kubwa lazima utumie nyenzo ndogo. Kama Marekani amemiliki uchumi wa dunia na ana uwezo wa...
  6. K

    Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

    Kwa nini unamtaka mbowe aombe msamaha badala ya kumshauri DPP afute kesi? Na je unataka mbowe amuombe nani msamaha?
  7. K

    Barua ya ushauri: Freeman Mbowe omba msamaha ukajipange na maisha mengine

    Pamoja na hayo kwanza nataka kujua atamuomba nani msamaha wakati kesi iko mahakamani?
  8. K

    Tazama dongo la Naibu Spika kwa Spika wa Bunge

    N Nyie ndio wale mnasemaga mbogo ni ng'ombe
  9. K

    Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

    Mashujaa wa imani walikuwepo tangu za Yohana mbatixaji Mashujaa wa imani walikuwepo tangu enzi za Yohana mbatizaji, hivyo hilo lisikushangaze na Mbowe ni mmojawapo.
Back
Top Bottom