Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Labda hawakubaliani na hoja zilizoshiba za Mh. Tundu Lissu kwa mama. Watake wastake, kafiba mpya ni lazima, tume huru ya uchaguzi ni lazima na 2025 tunakwenda na Mh. Tundu Lissu.
You know, chochote kinachotishia maslahi ya chawa ni sumu. Hata hivyo, kwasababu Chief Hangaya ni mnafiki numero uno, chawa wake hawana kihivyo sababu ya kuchukia. Amini usiamini, ukiondoa issue ya Tume ya Uchaguzi, hakuna issue nyingine itakayofanyiwa kazi kati ya sasa na 2025!