Recent content by Kirachacha

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendo wa mama kwa mtoto hauzuiliki huja tu!

    Ubaya ni kwamba wapo wakina mama ambao hawana hizo hisia hata chembe!! Binafsi hamna kitu kinanipa kinanifurahisha kama kuwa mama, raha sana aiseee.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa simu...!

    Kuwa huru nayo ni sawa, kufuta namba ni u-mburula.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Are our men failing us? Labda 'Strong Men' Extinction?

    Sasa unategemea nini kama vijana wanaona wanaume/wababa wengi wa kuwaiga ni wale walegevu legevu wanao-lack strong characters, morality and values. Inasikitisha lakini lazima nao waishie kuwa kama hao wengi.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumdai boyfriend ni vibaya?

    Hamna ubaya kumdai ila kuna ubaya kukabidhiana pesa nyingi bila makubaliano ya kimaandishi.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ichunge Misingi 6 ya Mafanikio...

    You missed the point. Mtoa mada amemaanisha kwamba usimuonyeshe kila mtu kwamba ndani uko hoi na sio usimuonyeshe muhusika. Mf. kama una matatizo yako nyumbani usiruhusu kila utakaekutana nae nje ya nyumbani kwako ang'amue hilo. Sio unamnunia/mlilia kila mtu.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Money in marriage: Is it mine or ours?

    OURS. . Sema kuna watu ambao ni extremely selfish, kwao hamnaga chetu, yetu wala zetu. Kila kitu ni changu, yangu, zako, chako. Kwahiyo inakuwa ngumu kwa wao kukubali chao kiwe cha wote, wanabaki kuact kama vile bado wako single.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada- MUHIMU

    Kimawazo na kifedha (ada na matumizi madogo madogo) au hata mtu kujitolea sare ya shule, daftari, kalamu nk
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada- MUHIMU

    Wasalam. Mimi ni mdada naishi Arusha na nnasoma chuo,ada najilipia na nina mtoto mdogo. Nna msichana wangu wa kazi anaetokea Busaka iko Chato Geita. Huyu binti aliishia form 2 baada ya kukosa ada. Japo alikuwa na nia ya kusoma mazingira ya kwao ni magumu. Kwenda shule ndo abahatishe, hata...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confusion ya Marafiki, Please help!

    Ila haina maana ndivyo ulivyo.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confusion ya Marafiki, Please help!

    Hahahahah, kaaazi kweli kweli. Eti "ukikaa na mtu mwenye pesa kwa vyovyote nawe utakuja pata pesa".
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confusion ya Marafiki, Please help!

    Swala la kuwa "bendera fuata upepo" sio la watoto tu, hata watu wazima wapo wanaofuata mkumbo sana tu. Na watoto wapo wengi tu wenye misimamo wasioiga iga mambo hovyo, niliwahi kuwa mmoja wao. Binafsi naamini mtu wa kupotoka atapotoka tu hata awe na marafiki wazuri namna gani, maana...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya Facebook yanachekesha ila full Ukweli

    Acha ukorofi hiyo picha inatakiwa iende kuleeeee kwenye jukwaa la bondeni.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Diamond platnum akiwa na mpenzi wake mpya...

    Labda anataka iwe rahisi kuwaona hata gizani. CaroDARK lazima taa iwe inawaka kuwaona.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuchagua....!

    Haya nakupa muda wangu. Chukua ukautumie utakavyo.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

    Kama mumewe hajamkataza acha avae, pengine wote wanapenda. Binafsi sidhani kama kuna umuhimu wa mtu kukereka na mavazi ya mtu mwingine ambae hamhusu hata kidogo (sio mke, ndugu wala rafiki yako) maana kila mtu na mambo yake. Wewe unayoyaita maadili pengine mwenzio hayajui wala hayamhusu...
Back
Top Bottom