Recent content by kipusaah

  1. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Jamani naomba kama unakitu cha ushauri kwa huyu mtu msaidie mm ntamfikishia yeye ajue cha kufanya kama unaona hapa aibu nifate pm lakini liwe la kumsaidia
  2. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Mkuu sina huo uwezo mimi nitamsaidia kwenda kanisan tuu lbda kma nmwambie hii kitu aende yeye ila huo ujasiri nautoa wapi [emoji23][emoji23][emoji23] Daahhh eti ukapigwe bomba
  3. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Aisee nashindwa nieleze nini kwa muda ule nilimnyanyapaa fulani Mungu anisamehe kama nilikosea[emoji20][emoji20]
  4. kipusaah

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Wasamehe hawajui watendalo kuna watu wana mizaha kila mahali ndyo maana hata biblia inasema usiketi mahali pa wenye mizaha
  5. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Mkuu jamaa ukimuona huwez kumdhania kabisaaa daahhh Mungu atusaidie kiukweli
  6. kipusaah

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Watu wako busy na mihangaiko mkuu
  7. kipusaah

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Hao tuwape jina la vishoka nyambaf
  8. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Mkuu unafikifiri sina kazi za kufanya na kutulia kuandika hii kitu bure kama huna cha kumsaidia huyu mtu pita kushoto acha walioguswa watoe neno kwa ajili yake
  9. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Shindwa pepo, unachukulia poa kwa sabab hjaona yuko katika kipindi gani
  10. kipusaah

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi bangi za chooni
  11. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Mkuu ukisoma vizuri nimesema hata kumgusa niliogopa nilibaki kimyaaa kama dakika 5 nzima namtazama yaani niliona kama giza la ghafla usoni kuna hbari ukipewa sijawahi kuwaza zinachanganya hivi
  12. kipusaah

    Kijana mwenye tatizo la kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja utamsaidiaje aweze kuacha? Soma kisa hiki

    Jamani mimi sio mwandishi mzuri mtanisamehe ila ntajitahidi kuandika kwa namna nitakavyoweza Jana nilikaa mahali fulani akaja kijana ambae ni 25yrs age sina hakika kamili na age yake ni kijana ambae niko nae mtaani i mean tunafahamiana japo sio mtu wangu wa karibu jina sitamtaja, alinikuta...
  13. kipusaah

    Wazamiaji wa miaka ya 90

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna vitu vinachekeshaaaa sanaa
Back
Top Bottom