Recent content by kipuri

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kipo Kinyerezi

    mwendo wa dakika kumi kutoka wapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanywaji wenzangu, Hennessy cognac si mchezo

    badala ya kuwaza maendeleo unawaza pombe tu
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tumejiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wamejiandaa kushindwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    ukiwa CHADEMA lazima ukubali kununuliwa, hivi Shibuda alipewa sh. Ngapi kuhamia CHADEMA
  5. K

    JamiiForums Tanzania Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Leo ndio mnajua umuhim wake, mbona mlishindwa kuhudhuria hata mazishi yake
  6. K

    JamiiForums Tanzania Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Mkuu, una likes zangu 1000
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

    Katika hayo mapambano, nani amekiwa mshindi siku zote?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    hivi, hadi leo kuna watu wanamjadili Slaa... Mkuu Mtela Mwampamba hebu acha kumpa promo huyu mzee aliejichokea
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    naona unalalamika tu, hujasema ilitakiwa iongezwe asilinia ngapi, na kwanini?... Bavicha bwana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dakta Hosea ni kweli haya?

    Mkuu Kibe, huyu mleta thread anaonekana ana chuki binafsi na Dr. Hosea, hakuna mgogoro wowote TAKUKURU kuhusu Mkurugenzi, hata hiyo safari haikuwepo, JF sasa ni kama gazeti la udaku, uzushi mwingi!!!?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dakta Hosea ni kweli haya?

    Hii habari ni uzushi mtupu, Dr. Hosea hajasafiri hivi karibuni kwenda USA, isitoshe jamaa ni muadilifu sana, miliono 45 kwa MKURUGENZI WA PCCB ni hela ndogo sana, Watanzania tujiepushe na hizi propaganda zisizokuwa na maana yoyote
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Leo kuna habari nzito katika vyombo vya habari kuhusu mama yake Zitto kuvamia nyumbani kwake na watu inaosadikiwa kuwa ni majambazi. Hili lina utata mkubwa sana ikizingatiwa kuwa Zitto amekiea akiandamwa sana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA Ikumbukwe kuwa Deus Msaki ambaye ni mtu wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Mawaziri kutokuwepo Bungeni wakati hoja inajadiliwa ni Sawa!

    Rekebisha heading yako,Mbona Una haraka hivyo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne: mimi pia ni Mhanga, naomba mchango wa Mawazo!

    Hii nayo ni habari ya siasa?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Toyota platz!!!

    Wakuu!!! Nahitaji gari tajwa hapo juu. Iwe katika hali nzuri, bajeti yangu ni 6m
Back
Top Bottom