Recent content by Kipunguny

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Niliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Bunge wanapaswa kuwa wenye afya njema, mkiweka vimeo mtalitia hasara Taifa

    Haya yanayoendelea Tanzania hii wewe unaona ni sawa?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mungu atakuwa wa ajabu kupokea sala ya ambaye anamuweka mtu jela akidai muhaini na huku hana kosa

    Ni neema ya Mungu pekee ndio iokoayo. Huyu mama atubu dhambi zake zote na Mungu atamsamehe na kumweka huru kutoka kwenye kifungo Cha laana lilichosimama juu yake. Na kabla hajaingia kuomba toba kwa Mungu huyu Samia anapaswa naye kwanza kuwasamehe wote waliomkosea na ahakikishe pia wale wote...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Amen Amen
  5. K

    JamiiForums Tanzania Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Hakuna jipya. Tujuavyo mkuu wa psu,ambayo pia inamlinda vp bado anatii amri kutoka kwa amiri kesho mkuu. Ingekuwa hivyo unavyohisi hawashindwi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mabakuli kurudi kapa; Serikali kuja na mpango wa kuongeza kodi

    Hawa wajinga akina thlaatlaa,mwisho wa maisha Yao hapa duniani na baada ya hapa duniani nina uhakika ni kwenye moto wa volcano.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bakwata wanataka Haki na Amani au Wali?

    Ndio mbinu za serikali ya ccm kukamata taasisi za kidini kijanja kwa manufaa yao Ili wabaki madarakani. Ila Kwa TEC wamevutiwa handbrake. Kwa KKKT Malasusa ndio anatumika vibaya naye akanasa. Utahubirije amani bila haki? Na Malasusa ni ngumu sana kwake kutamka neno haki Kila anapoalikwa kwenye...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ni kama mchezo wa maigizo kila siku matamko hakuna kinacho endelea

    Acheni hizo! Idadi ya waliopoteza maisha siku hiyo ni kubwa sana,na ushahidi wa picha upo. Sio hiyo ya kipropaganda uliyoitaja hapo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Kabisa. Pale Mwenge panastahili flyover.Itapunguza jam kwa kiwango kikubwa sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achangia milioni 100 ujenzi wa makumbusho ya Hayati Magufuli

    M Misaada imekatwa,bado yeye anachezea pesa!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema bado ipo?

    Chadema ipo sana. Tena imara kabisa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yapania kuziba mianya ya ukwepaji kodi, Rais Samia atoa msimamo

    Yote hii ni ktk kukabiliana na madhara ya kauli ya "WHO ARE YOU" baada ya misaada na mikopo kuondolewa na hao walioambiwa Who are you! Hivyo serikali Haina fedha za kuendesha nchi kimaendeleo. Tutarajie maumivu makubwa sana kiuchumi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pole Mr. Lissu, Mungu yupo nawe

    Amen
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Biashara ni matangazo! Uchaguzi ni wako! Kuanguka au kusimama
Back
Top Bottom