Alisema simba ,azam waliwahi kupokwa point lakini nikamuona kilaza akasahau yanga aliwahi kupokwa point pale canavaro alipocheza dhid ya cost union ila akusema huyu jamaaa mlopokaji huwa aweki akiba ya maneno,nafurahi kusikia ataka uchunguzi ufanyike lakini akasahau pia kuna uchunguzi wa laki 8...
Goli 3 point 3 ahahahahahahahaah sio point 3 goli 2 yani simba mnapenda misaada hadi ya magoli mlishindwa kufunga magoli mengi mkidai nyie mwataka ushindi tu hata kama ni goli 1 sasa sisi wakati tunafunga magoli mengi mlituona ni wajinga mwataka kutufikia kwa magoli imekula kwenu.
Hivi simba angeshinda angekata rufaaa dhidi ya kagera alafu ile mechi azam awakuonesha live ndio jamaa wanaingangania hiyo hiyo any way chukueni hizo point tukutane kwenye magori
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.