Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Binafsi hizo point za Lyon hata sizitaki!
Kwani kuzichukua point za Lyon ambazo ni haki yetu,tunakiwa kupewa point zetu ambazo zipo kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa mpira duniani na sio Tanzania peke yake.
Lakini kupewa kwetu kwa point hizo zisiharalishe haramu ya simba! Point wanazodai simba hazipo kwa mujibu wa kanuni wala sheria za soka ya sayari yeyote iliyopo duniani na nje ya Dunia. Kimsingi kwa udanganyifu huu,simba wanatakiwa kuchukuliwa hatua na kupewa adhabu zaidi kutokana na kutaka kulidanganya shirikisho na kuharibu soka la nchi hii.
Tunacholalamika Yanga sio point 3 za simba kwa Kagera na wala sio Point zetu 3 kutoka kwa African Lyon ila tunalalamikia UHUNI unataka na unaofanywa na viongozi wa simba kwa mstakabali wa soka la nchi hii.
Kama tutahalalisha uhuni huu,kwanini basi tusiwagekie simba na kuwashambulia kwa kuchezesha wachezaji wa bonanza tena wakiwa hawana vibali vya kazi na vya kuishi nchini (Yaan wahamiaji haramu) na kudai Ndanda nao wapewe point 3 za mchezo huo pamoja na michezo yao ya nyuma ambayo simba waliwachezesha wahamiaji hao HARAMU. Kama kuwachezesha haikuwa haram kwanini Yanga hatukumchezesha Justine Zulu akiwa hana tu kibali cha kufanyia kazi na akiwa na kibali tayari cha ukazi wa hapa nchini?
Na kama kadi za FA na VPL zinaingiliana,kwanini tusipaze sauti zetu na kuwataka TFF na bodi ya Ligi kuwachukulia hatua simba kwa kuchezesha Novat Lufunga huku akiwa na kiporo cha kadi nyekundu FA,jambo ambalo halikuhitaji ada wala rufaa ya Police Dar!
Kana kwamba haitoshi,juzi kwenye mechi ya Madini vs Simba,ni hao hao wamemchezesha Bukungu akiwa ametokea kupata kadi nyekundu kwenye mechi ya ligi dhidi ya Young Africans,hilo nalo nani kapaza sauti kuwaambia simba kuwa haistahili wakati wao ndio walioitumia kanuni wanayomvisha Mohammed Fakhi leo hii!
Let's say NO to simba and enough is enough. Watoe point za Yanga dhidi ya A. Lyon na Kagera wabaki na point zao na huku simba wakichukuliwa hatua kwenye mechi ya Police Dar na Madini,tutawaheshimu tff.
By
Mwana Yanga Mtata