Recent content by kipotabodot

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ganda la ndizi

    Word Joshua Haji, wa tanzania wengi ni wazuri wa kusikiliza maj unga na promo za magazeti ila kumtahmini mtu kwao wa naona uvivu! Lowassa ni jembe wakubali wakatae but that's the fact! Nchi inahitaji discipline hii and the only man with the guts to do that is Lowassa
  2. K

    JamiiForums Tanzania LOWASA na KAGAME WANAFANANA SANA

    Kiutendaji kazi hilo halina mjadala na ukweli unaonekana kwa aliye pata kushuhudia maendeleo ya jimbo lake ataelewa! Watu wanakazana kuongeza ufisadi ufisadi huyu jamaa(EDO) ni mwanaume halisi hana mambo ya mipasho ila atapoingia madarakani lazima nchi itabadilika maana he is a man of changes
  3. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2015 watu wengi wataugua pressure na stroke!

    @ Hute wanaongea sana watu wakati EDO kupiga kimya anafanya yake! Wamesahau kuwa simba mwenda pole ndio mla nyama! EDO 2015
Back
Top Bottom