Recent content by Kipondo Cha ugoko

  1. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Janamke lilikuwa na tamaa sana Daaahhh!!
  2. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    We nae We nae unalako jambo na huyo kada mwenzio, karibu dar uone mito na watu walivyojenga
  3. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Unatoa conclusion kwa maelezo ya upande mmoja?? Mimi nachoamini mwanaume mpaka anafikia hatua hiyo basi huyo mwanamke kazingua sana. Shida ya wanawake wa kichaga ipo hapo tu.
  4. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania CCM ni madhabahu, hivyo sio rahisi kuondolewa madarakani.

    Kila mtu na mtazamo wake lkn Mimi naona kwa muda mrefu CCM inashikiliwa na vyombo vya usalama, Roho ya CCM ni vyombo vya usalama tu hakuna kingine na kama kipo basi ni ziada ndogo sana. Hili ukitumia akili kidogo tu utaliona wazi wazi. Viongozi wakubwa wote wa hivyo vyombo ni lzm wawe makada...
  5. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa risasi wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Shida ni kwamba police wa nchi hii hawaaminiki hata kidogo, washapoteza credit kwenye jamii. Kutunga uongo ni rahisi sana lkn impact yake ndo kama hivyo! Kila wanachokisema hata kama ni kweli inaonekana ni mauongo Yao ya siku zote. In short kuwaamini police hawa lazima uwe na kauchizi kidogo.
  6. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Kwa hiyo unataka kusema alikuwa anasaidiwa akiwa ndani ya jela???
  7. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Shuleni nilisoma na jamaa ambae alikuwa na akili za ajabu sana, wakati wenzie tukikesha usiku mzima tumeloweka miguu kwenye mabeseni ya maji tunajisomea, mwanetu yeye ni analala tu, harafu mida ya saa 11 alfajiri anapitia pitia vitabu kama dk20-30 hivi. Kwenye mitihani ni mwendo wa kutunyoosha...
  8. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Kwa kweli kwa huu msako anaoupiga lissu lazima watu waachie kidogo hata kama wanamaelekezo. Kumtia hatiani lissu kwa kesi hii ni kunajisi Sheria.
  9. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Mkuu hao watu hawafagi! Utasubili sana wafe! Ukitaka kuwaua haribu mfumo tofauti na hapo twendelee kujiliza
  10. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Mwenye masikio na asikie, hii comment imemaliza Kila kitu.
  11. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Maigizo na mambo ya kuhamisha kwenye reli. Yani nchi hii ukiwa na akili timamu hata kama hujaenda shule michezo yote unaiona wazi wazi. Michezo mingi ni yakiwango Cha chini mno.
  12. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Sehemu yoyote inayoendeshwa kwa kupuuza Sheria ama kutofuata Sheria,kuwa nayo makini sana. Nchi yetu kwa sasa inapitia kipimo hicho
  13. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Kumdai Dk. NChimbi kwetu sisi raia ni gumu sana ikiwa ndgu zake wako kimya. Lkn mm nadhani huyu jamaa atakuwa amejificha mahari ama hayuko Nchini. Jamaa angekuwa kizuizini habari zingevuja
  14. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

    Hakuna shule ya janja janja hapo
Back
Top Bottom