Mm pia nina macho mazuri haswaaa ya mwanamke kua nayoo haujanishawishi,we sema una helaaa nyingii naeza kukufikiriaa,macho mazuri si yakooo,tutakula hayo macho au?
Hahahahaa eti fagio la buibui,ttzo mkiwa nasi na twende kilion zetu akipita mwenye lace wig unageuka kbs kumuangalia na mm najaribu kusuka weaving litengenezwe kama lace wig basi linakosewaaaa ila inabid ukomae usipitwe na wakati,ila ni shidaaa
Kama sio yy yanakuhusu basi huyo alokuhadithia kapata mwanamke nje na anapewa mambo ya kune sinemaa ndo mana anamwambia mkewe akaangalie ya huko apate ujuzi,hayajamkutaa akipata gonjwa hatari atakaaa nyumbani atatuliaa na kumuona mkewe MUNGU wa pili.
Hahahaah,kwa kua ni kurudishiana maneno akituma m-pesa 150000 na ww ukituma tigo pesa ivo ivo atajua uaminifu upo atatuma 500000 apo unapotea hewani badae unaomba excuse mtandao ulikua unasumbuaaa
Majigo basi kama ni kila siku anafanya ivo kazamiria jifanye unamtania umwambie jaman sauti ii ata hunitegiii,ebu dekaa kidogoo mwenzio nina hamu ya kukuhongaa utaonaaa hahaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.