Hapa Kipanya alikuwa anajaribu kusemaje!!?

Hapa Kipanya alikuwa anajaribu kusemaje!!?

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Kama tujuavyo mchoro mmoja wa katuni una uwezo wa kubeba kurasa 50 za kitabu.
 

Attachments

  • 1433087313917.jpg
    1433087313917.jpg
    25.6 KB · Views: 1,171
Kama tujuavyo mchoro mmoja wa katuni una uwezo wa kubeba kurasa 50 za kitabu.

Hapa anasema fisadi arudishe kwanza hela za Richmond ndio atangaze nia. Bado Watanzania hawajasahau jinsi nchi yao ilivyotafunwa na kikundi cha wahuni ambao leo wanataka kurudi tena kukomba kila kitu.
 
Hapo anamaanisha safari ya matumaini imeanzia misikitini, makanisani, bodaboda na imeishia huko huko ilikoanzia.
 
icon1.png
Re: Hapa Kipanya alikuwa anajaribu kusemaje!!?
Jamaa kaonesha jinsi mzee hatavuka kwa kutumia matumaini pekee badala ya hali halisi kuwa fisadi hatakiwi ikulu
 
Ni kazi ngumu kubalance kwenye hio kamba ili avuke, hata hivyo kambya yenyewe itakata soon.
Kipanya ana kipaji mno!!
 
Back
Top Bottom