mtoa mada kapange upya propaganda zako, watanzania ni watu wa ajabu sana, CCM imeshindwa kuongoza nchi, tuna taabika kwa kukosa huduma muhimu za jamii, wakina mama wanakosa sehemu za kujifungulia, watoto wanasoma chini ya miti, barabara ovyo, ufisadi wa kutisha kila sehemu.yaani ni aibu sana...