Recent content by Kipis

 1. Kipis

  M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

  Linganisha na kampeni za uchaguzi mkuu uliyopita ndiyo utaelewa namaanisha nini.
 2. Kipis

  M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

  Kipimo kizuri cha ubashiri wa kukubalika na watu hakiwezi Kuwa hiki. Walio wengi hapo ni wakuja kuitaza chopa live na SI vinginevyo.
 3. Kipis

  Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

  Kuna watu katika dunia hii maisha yamewalevya hadi kufikia hatua ya kuhoji mambo ya kipuuzi kabisa. Kuna mambo mengi sana hata kwa kutumia akili tu ya kawaida inakupa ufahamu wa uwepo wa Mwenyezi Mungu. Hivi, ni kitu gani kinachotenganisha ladha ya chungwa, limao, ndimu nk. Hali ya kuwa vyote...
 4. Kipis

  Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

  Nimejaribu kukupa mifano ili nione akili yako unaishughulishaje katika kuunganisha baina ya hili na lile, lakini nimeona bado katika uwelewa ni sifuri. Lakini kidogo kidogo utaelewa bibie. Hayo yote unayoyahoji ni katika dalili ya kuonyesha uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mungu anaumba apendavyo yeye...
 5. Kipis

  Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

  Na miongoni mwa watu wapo wanaobishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shetani aliye asi. 22:3 Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu iliyoganda...
 6. Kipis

  Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

  Kuna watu humu wanauliza maswali kama vile hawajapitia hata darasa. Hivyo unadhani ulimwengu ndio wenye dhambi au walimwengu walio ndani ya huo ulimwengu? Eti unashangaa kama kweli Mungu ana upendo kwa viumbe vyake kwa nini aliumba njaa, magonjwa vilema nk!! Lo! Ngoja nisafiri na akili yako...
 7. Kipis

  BlackBird I9000 Smartphone

  Specifications: System: Android 4.0 Platform: Dual Core ,1.2GHz Size: 167.1X90.1X10.5mm Network: GSM(850M/900M/1800M/1900M) WCDMA(850/2100M) Display: 6.0in. Resolution 480X854 (FWVGA), to support multi-touch capacitive screen Camera: 5.0million-pixel...
 8. Kipis

  Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

  Alifundishwa na baba yako siyo!!
 9. Kipis

  Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

  Hebu tuwekee hiyo sumu aliyoimwaga ili tulinganishe na huu unyama aliofanyiwa kama kweli alistahili kufanyiwa hivyo. Vinginevyo ni msukumo tu wa imani yako ndiyo unaokuongoza hadi utoe uharo wako huo. Hata kama ange uwawa unafikili kitu gani kingeongezeka kwako? Au hiyo amani unayoaminishwa...
 10. Kipis

  Ni Kweli Sheikh Ponda Ndio Suspsect Wa Waliomwagiwa Tindi Kali Zanzibar?.

  Kulikuwa na matukio kama hayo kwa akina kubenea and others! Ponda alikuwa wapi? Hayo mahubiri ambayo alienda kuyahubiri Zanzibar kuna aliye yasikia na kujiridhisha kuwa yeye ni chanzo cha hao waliomwagiwa tindi kali au hayo mahubiri ni kweli ya uchochezi? Viongozi wa Uamsho hadi hivi leo wapo...
 11. Kipis

  tindikali inapatikana wapi

  Mkuu una ushahidi kuhusu hayo madai ya Ponda kuhusika na tindi kali?
 12. Kipis

  Maiti afufuliwa huko mkuranga pwani.... Milioni 15 zahitajika kwa mganga wa kienyeji ili kumrudisha

  Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru. Bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi,na yaliyoteremshwa kwa Malaika wawili; Haaruta na Maaruta katika baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni...
 13. Kipis

  Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

  Ime anajuwa hili!
 14. Kipis

  Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

  Mimi nadhani hawa jamaa wanachokifanya ni kuhisi. Hawana uhakika wa moja kwa moja kama ni yeye hasa ndiye muuwaji. Unaweza ukaichora picha,bila kuifananisha na mtu yeyote lakini ajabu kutokana na maumbile ya binadamu picha hiyo inaweza kukutwa ina shahabiana na mmoja kati ya watu ambao tuponao...
Top Bottom