Recent content by kipengaxtra

  1. K

    JamiiForums Tanzania DStv Azam zuku

    Darmian unajion una uwezo wa kulipia mpk unatolea mapovu mpango mzuri wa serikali? nakushangaa sana. Bora uchutame kwa aibu hii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    sina maslahi na hicho chuo naomba uelwe
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    Noted! Changes of the the leadership is so important. Mi nauliza hivi baba askofu mkuu wa KKKT Dr. Shoo anafahamu kuwa Bursar anamiliki akaunti zenye USD Dollars km inavyosemwa? Kama anafahamu, amefuatilia huyo Bursar alikopata hayo ma-USD Dollars? Yeye baba askofu anamilki akaunti kama hiyo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    we ni raia wa nchi gani? Unaweza kuta mtu hata hajawahi kufanya kazi mahali husika ila amepata taarifa kutoka vyanzo flaniflani akaona arushe hzo taarifa kwa maslahi mapana ya watanzania we unatoa tu hukumu mbele ya screen yako. acha uvivu na kutetea waovu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    Badala ya kumshambulia mtoa mada toa ufafanuzi au taarifa pinzani. Kumshambulia mtoa mada personnally ni udhaifu mkubwa, tunaita povu! Bila shaka una maslahi na hicho chuo!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    we unachokitetea ni kt gani, we subiri km ni mhusika muda utaongea. Badala uchangie hoja na kutafuta ukweli unamjadili mtoa mada. Tulia utafute ukweli au unafurahia mateso ya wenzio? bullsheet!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    Unamfhamu? we inaonekana unafanya kazi hapo makumira, badala umwunge mkono kwa mnavyoteseka hapo we unatoka kihivi? we hata ukichomwa sindano sidhani km utaisikia. Namfahamu Bursar wa kile chuo ni billionaire ktk ya wahadhiri maskini na anawaendesha anavyotaka. Anamiliki account zenye USD...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

    Yaliyoandikwa na Saigilo nayaunga mkono, kuna bursar pale mwenye elimu ya kuungaunga anajifanya DVC-Incharge anawanyanyasa sana wahadhiri, ana uwezo wa kumwajiri amtakaye bila interview wako hawara zake pale amewaajiri bila interview ana miliki account zenye mamilioni ya dola zote ni sadaka za...
Back
Top Bottom