DStv Azam zuku

DStv Azam zuku

wewe ndie mjinga, kwa hili serikali naipa heko!! badala ya kulipia sasa tutakuwa tunaangalia bure!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna bure yoyote, mbona Star Times wao hizi za 'bure' hawazionyeshi bure hadi ulipie? Jana nimelipa Star Times ndiyo nikafunguliwa ITV, Channel Ten, Clouds na local channel nyingine? Awali nilikuwa napata TBC1 pekee.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwa jinsi navyoona hili sakata linavyoenda ni kama kililengwa kituo kimoja tu pendwa kwa sasa hapa tz, lkn sielewi tatizo liko wapi
Mnapoisajili tv station kwa nini msimpe na uhuru wa kufanya kazi kwa maana ya leseni zote?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo huwa atuweki sawa mambo yetu mpaka pale mambo yanapoenda yombo ndio watu wanatambua umuhimu wa jambo husika,ni kweli linatuumiza wengi ila ifike wakati pia kwamba haya mapungufu yanapoonekana toka mwanzo basi yashughulikiwe mapema maana tunaoumia ni sisi walaji,kwa mfano:-
Azam imeshajijengia jina kubwa sana kupitia taarifa ya habari pamoja na kurusha ligi ya Tanzania.nashauri wakae na wayamalize,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom