Recent content by kipele boy

  1. K

    Cheki hii

    Son gonna be more dan Father ... He might gonna be fire man
  2. K

    Angalia vizuri labda kuna baba au mama yako hapa

    Kitu cha saasita watu hawana habariiii Duuuu...!!! Kweli Nyakati zimekwisha ...leo hii katotocha 2yrs kakikojoa tuuu... Hari mbaya
  3. K

    Members Only! Ebwanaeee liko safi!

    Aiseee kitu cha Six silinder. Mixer tube kiti cha turbo ... Mwendo wakufukia mashimo kitu mtelelooo ..... Aaah jamani short chases hiyo babu baraa tupu....
  4. K

    Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

    Duuuuh..!! Miaka hii sidhani kama humchezo upo tena. !!!? Maana nakumbuka nilijibonda bonda sana vidole kwa kunyoosha hivyo visoda
  5. K

    Exclusive pics: uchafu wa mwalimu wa kibasila

    Dooooooo...!!! Mmmh mchizi sasa ana demu au mchumba maana nawaza Game alikuwa anspigia wapi. !! Aiseee au ana majini huyo mjamaaaaa...
  6. K

    Wamama watu wazima mtatumaliza

    Mmmh ..!! Sema unataka kudate joooo...!
  7. K

    Tarehe 23/1/2015 harusi yangu

    Naona una mpango wa kukoga maji ya povu ndio mana ukakimbilia Ukumbi wa jeshii.. Any way sio mbaya inaelekea mwenye kiti wa kamati alikuwa ana focus mbele on bajet ya vinywajii ... I ought to be ther nitaingia na ukaribisho wa wakwee
Back
Top Bottom