Ni kweli hiyo hali ipo kwa baadhi ya watu,
mf:-mimi huwa ninapoongea na mwanamke yeyote yule huwa najua sehemu yake ya siri ipoje kwa kutazama. Mara nyingi sipendi kutazama binti,msichana yeyote kwa muda mrefu coz huwa naona kama ninamchungulia....
Usiogope sana, hiyo hali ipo kwa baadhi ya watu.
Pole sana kwa hayo yanayokutukia ila napenda kusema kuwa mvumiliu kwani yote ni mapito. Mzazi/wazazi ni kweli wanaboa sana kiasi unaweza kusema ni kwanini ulizaliwa ktk familia hii, wape wanachotaka kwako ili kuwaridhisha haja za mioyo yao. Kama wanakujaribu utajua tu na kama sivyo basi unapaswa...
Asanteni kwa hayo yote na nitafanyia kazi mawazo yenu, nashukuru na ninawaombea kwa mungu awajeze mioyo yenu mengi yenye heri. ...........ASANTE............
lejea ktk maandiko yangu hapo awali ni kwamba nisaidieni kutokana na hili, niachane na mzazi niendelee na mapenzi au nimwache mchumba na nimsikilize mzazi? Tafadhali mawazo yako ni muhimu pia.
nashukuru sana brother kwa hayo ila mimi ni imara sana na wala sitetereki isipokuwa ninachohitaji kwenu ni vp nifanye kuhusu mzazi wangu, kwa mwanamke nimepokelewa vizuri tu lkn kwa upande wangu mzazi katia kasoro.
tatizo kubwa ni kwamba nipo kwangu na mtu wangu anakuja kwangu ila ktk harakati za kutambulishana ndiyo limetokea hilo tatizo ambalo mzazi wangu ndiye anakataa mimi kuw naye, sisi tunapendana sana tu na kuishi pamoja ni baada ya miezi miwili baadaye na hapo ndipo linakuja tatizo la mzazi.
Wana jf samahani kidogo, mimi ninaishi kwangu na wala sipo nyumbani. Siku ambayo nilikwenda kumtambulisha mama yangu juu ya mwenza niliyenaye ndipo chuki zilianza, awali walikuwa wanapendana sana na wakati huo nilikuwa ninamahusiano naye bila ya yeye mama kutambua na alikuwa anajitahidi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.