My friend mbona hizi takwimu ulizozitoa hazina uwiano kabisa. Kimahesabu kama waziri mkuu analipwa milioni 28 kwa mwezi ina maana hii ni sawa na mishahara ya waalimu 70 kwa hiyo laki 4 uliyosema kwa mwezi. Kwa hiyo hizi data sio sahihi. Nikusahihishe kidogo kwa hiyo milioni 28 watalipwa waalimu...
naomba asee chadema muisimamie hii kitu isiegemee upande mmoja maana mim nimeshaona hata maoni ya watu walioyatoa hayaonekani kwenye hii rasimu ndo maana mzee mmoja aliulizwa kuhsu rasimu hii akasema hata muweke serikali nane mim ninataka maendeleo kwenye jamii tu.
hakuna haja ya kwenda mbali simply ni kwamba huyu mama hafai maana kama pale mjengoni pamemshinda urais ndo atauwezaje. Hebu kaeni chini fikirieni mtu anayetufaa maana mkiweka kituko kwenye hiyo nafasi na mambo yote yatakuwa kituko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.