Recent content by kipande

  1. K

    Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

    Daah mungu tena?? Nyumbu mna shida sana aisee.
  2. K

    Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

    Mnawaona magenius kwasbbu wanawaongoza vilaza kama nyinyi. Wenzenu sasa hivi wanalamba asali, nyinyi mnakaa kuwasifia.
  3. K

    Leo ni Siku Mbaya Kwa "Bomang'ombe Gangs"

    Kwahiyo na Mbowe aliekaa jela ile miezi 9 nae malinda yake nyang'anyang'a
  4. K

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Wewe una uhakika gani kama alitenda hayo? Au unafuata yanayosemwa na watu.
  5. K

    Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Kwahiyo anawasikia huko aliko. Au mnaongea na upepo
  6. K

    Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Ukipata nafasi ya kutubu dhambi zako kabla ya kifo chako, hiyo ni ishara ya kuwa mtu mwema wachache sana hupata nafasi hii.
  7. K

    Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Yeye anawekaje ushahidi? Kwani ripoti ya CAG inajadiliwa na kujibiwa na Rais. Hii inaonesha dhahiri ulivyo mpumbavu usiejua chochote bendera fuata upepo. Kama JPM ameiba hizo hela atakua amezificha wapi? Ana utajiri aliouacha kutokana na hizo fedha? Amekufa Sasa, si ingekua vizuri hizo pesa...
  8. K

    Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    If a taarifa ya Kamati ya Bunge ya PAC ambao ndo wanaochambua ripoti za CAG imesema wazi hapakua na upotevu wa 1.5T
  9. K

    Rais Samia umewasahau Wastaafu wanaolipwa na Hazina

    Haki wanayostahili ndo hiyo wanayolipwa kulingana na mishahara yao waliyostaafia. Hapa kinachotakiwa ni kuangaliwa kwa jicho la huruma kwa kuzingatia hali ya maisha ya sasa.
  10. K

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Usipende kurukia mambo bila kujua limetokea wapi? Magufuli hakujenga tu barabara lake zone, bali amehusika katika kuiunganisha Tanzania kwa barabara za lami akitekeleza ilani ya CCM. Huu ukanda unaotaka kuuleta hapa sisi watanzania hatujazoea, tunachojua nchi ilijengwa kwa kuzingatia vipaumbele...
  11. K

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Dah aisee we mtu unaishi nchi gani? Tanzania hii hii? tokea lini nchi hii ajira zilikua 90% tena kwa watu kufuatwa mavyuoni. Hata kama una mahaba lakini siyo kwa kupotosha umma kiasi hiki.
  12. K

    Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

    Sasa unawezaje kutofautisha TANU na CCM. Yaani ni sawa na kusema tuongelee kuzaliwa kwako wewe mpaka hapo ulipo bila kuwataja wazazi wako.
  13. K

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Mbeya zilipelekwa takribani bilioni 12.8 kwa ajili ya ujenzi wa Barabara na miongoni mwa barabara zilizotengenezwa ni pamoja na; Barabara ya MUST inayopitia eneo la Viwandani TBL, PEPSI na COCACOLA yenye urefu wa km 2.76, Barabara ya Sae –Tanesco Kisanji 0.86, Barabara ya Legico mpaka Kanisa...
  14. K

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Takwimu hujaziona hapo au macho yako yana makengeza
  15. K

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Hujui Hujui chochote mbwa koko wewe. unaendeshwa na chuki usipotoshe watu kwa chuki zako binafsi. Katika kipindi cha miaka mitano ya JPM zilijengwa barabara kilomita zaidi ya 3500 nchi nzima na kufanya nchi kuwa na kilomita 12,964. Aliacha kilomita 2000 zikiendelea kujengwa, juzi mama...
Back
Top Bottom