Recent content by Kipa Ile

  1. K

    Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Ufisadi Tanzania kuisha ni kama kusema maji yaishe Bahati ya Hindi
  2. K

    Mkuu wa Wilaya Monduli aupotosha uma kuficha madhambi yake

    Vitus vinaendelea kuja. Hilo kundi la wananchi walikua na Lukuvi. Yeye DC anapotosha kwamba eti Waziri hakupewa ushirikiano. Rushwa mwanaharamu
  3. K

    Mkuu wa Wilaya Monduli aupotosha uma kuficha madhambi yake

    Tajiri akitoka mahakaman akiomba kesi ifutwe maana mkiti ameondolewa kisa kijiji hakina mwakilishi Tuliwaambia nia ya kikao cha dc ni kufifisha kesi ya kijj
  4. K

    Mkuu wa Wilaya Monduli aupotosha uma kuficha madhambi yake

    DC WANGU MONDULI AMEPOTOSHWA Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!! Kwanza napenda kusema sikusudii wala sipendi kujibishana na mkuu wangu wa wilaya Kwenye vyombo vya habari. Lakini nimelazimika kusema kidogo ili kuondoa upotoshwaji mwingi aliosema DC Kwenye taarifa yake...
  5. K

    DC wangu Monduli umepotoshwa

    DC WANGU MONDULI AMEPOTOSHWA Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!! Kwanza napenda kusema sikusudii wala sipendi kujibishana na mkuu wangu wa wilaya Kwenye vyombo vya habari. Lakini nimelazimika kusema kidogo ili kuondoa upotoshwaji mwingi aliosema DC Kwenye taarifa yake...
  6. K

    Mkuu wa Wilaya Monduli aupotosha uma kuficha madhambi yake

    Tulijua tu haya na ndiyo maana DC alikua anatoa povu ....Ametumia nguvu kubwa sana kujitetea. Rushwa ni mwana haramu
Back
Top Bottom