Recent content by Kiongozi mkuu2020

  1. K

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Hao cdm wattafute katiba ya kikundi chao wasije najisi katiba ya wananchi kwa kuingiza uana harakati wa ki cdm cdm matokeo yake tupate katiba ya hovyo kabisa.
  2. K

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Katiba itatafutwa na watanzania wasio na mlengo wa chama chochote.
  3. K

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Nyinyi niwanainchi tatizo mnauharakati wa kichadema chadema. Hivyo mtainajisi katiba ya wananchi. Acheni uhuni huo.
  4. K

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Nyinyi hangaikeni na uchadema wenu, katiba ya wananchi waaachieni wananchi wenyewee
  5. K

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Nyinyi tafuteni katiba ya chadema siokatiba ya wananchi. Katiba ya wananchi italetwa na wananchi wenyewee, sio hizofujo zenu
  6. K

    #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Yaaani unavuta bangi za ufipa halafu unamtukana raisi na bado unaokota makopo mitaani??
  7. K

    Hoja tano kwanini Mbowe anaonekana kubambikiwa kesi

    Kama anaonewa, kwa nini hamjashauri kwenda mahakamani??
  8. K

    Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    Tumekusikia wakala wa shetaniii. Sasa kwa taarifa yako utakufa we we na kuwaacha hao uliowatabiria kifo.
  9. K

    Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

    WAACHE KULITAJA BURE JINA LA MUNGU. YAAANI MNATENGENEZA MACHAFUKO HALAFU MNAJIBARAGUZA KWENYE MAAANDIKO MATAKATIFU??? HOVYO KABISA.
  10. K

    Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

    UFIPA BILA MATUSI HAMNA KIKUNDI PALE. KILA POST ZENU ZOTE LAZIMA MPOROMOSHE MATUSI. HIVI HAMNA SERA MBADALA, MPAKA MTUKANANE TUUU???
  11. K

    Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

    WANAUFIPA INJE NA MATUSI HAKUNA KINGINE WANAFIKILIA. HIVI HAMUINI AIBU KUITWA KIWANDA CHA MATUSI?? KILA POST ZENU NYINYI NIKUPOST MATUSI TUUU. AU MNAMATATIZO GANI??
  12. K

    Kunukuu maandiko ya kidini katika matukio na harakati za kisiasa ni upeo hafifu wa fikra

    Sasa watu kama akina mdude hiyo biblia wameijulia wapiiii? Ila hata shetani naye alitumia maandiko kule jangwaniii. Hivyo hatushangai.
  13. K

    CCM inaogopa Katiba Mpya zaidi ya maambukizi ya COVID-19

    Matusi ni dalili za ukichaaa
Back
Top Bottom