Kifo hiki kimeniumiza sana. Lakini pia ndoa ya Sajuki Na wastara ni mfano mzuri sana wa kuigwa na kila mtu anayemjua Mungu. Vijana hawa walini- inspire sana kwa jinsi walivyoishi maisha yao ya ndoa. Ilikuwa ni ndoa yenye upendo na uvumilivu wa kweli. Vijana na haswa wasanii jaribuni kuiga mfano...
Wema wote ulioutenda kwa kuwa mwaminifu, umeuchafua kwa kuwakashifu WANAWAKE wa JF. Kwa maana nyingine kwako wewe JF ni sehemu ya wanawake wazinzi. Umewadhalilisha sana, omba msamaha kwani wengine humu ni Mama zako.
Kila anayemdhulumu mtoto, mjane na mzee haki yake atalipwa kwa ubya wake hapa hapa duniani. Bi Gisela ulifanya kitu kibaya sana na malipo yako utayapata hapa hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.